Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Sasa mkuu mbona wewe ukileta habari hatukupigi rungu? Hiyo ni habari na mimi nimeibeba nikaiweka humu bwashee. Acha kukimbia kivuli kama dingi bwashee.
Ngidi koyu nianji jakunaa MoD ole.
 
Uzalendo ni nini ?

Ni ile hali ya kuwa mwanachama wa ccm, ikibidi unatembea ukiwa umevaa skafu ya chama kama yule mheshimiwa fulani, au unashonea kabisa rangi za chama na kutembea na ilani yake kama yule mheshimiwa mwingine yuleee!!
 
I am waiting to see just one positive posting about your country. So far you have not seen any positive issues, event or processes concerning your country? Or you are an alien?
Sasa Maghembe nchi zinazosaidia raia wake kwenye majanga kwanini zisibarikiwe? Halafu kupuuza waliokumbwa na mafuriko Lindi , kudhulumu korosho , kudhulumu hela ya tetemeko , kuteka watu , kuvunja nyumba za raia bila fidia ila wa kwenu hawavunjiwi , kuficha taarifa za corona nk . hizi ndio positive issues unazozizungumzia ?
 
Ni ile hali ya kuwa mwanachama wa ccm, ikibidi unatembea ukiwa umevaa skafu ya chama kama yule mheshimiwa fulani, au unashonea kabisa rangi za chama na kutembea na ilani yake kama yule mheshimiwa mwingine yuleee!!
Kama Lugola siyo !
 
Leo asubuhi nilikuwa kwenye foleni na balozi wa uingereza.
 
Kumbe walikuwa bado wapo humu? Usiogope, hao wataenda kuonja mfungo wa lazima kukaa ndani ka mwali. Watawaelezea wenzao uhuru ulioko Tanzania nakuambia mahotel yatajaa soon. Utafiti unaonesha kuwa; Kufungia watu kunapunguza uwezo wa kujikinga mwilini
 
inamaana mabeberu hawajaskia kuwa Bashite katangaza kuwa korona inaisha rasmi jumapili tarehe 24 ?
 
Back
Top Bottom