Hatimaye Uingereza yaipiga marufuku Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo

Wachina wamebebwa na teknologia ya 'mabeberu' mfano mdogo tu hadi leo hii wanategemea android os kwa vijisimu vyao -tecno .

Here we go again - Source CNN!! Unategemea nini kutoka kwa majangili hawa, walio kubuhu kwenye medani za misinformation na disinfornation, yaani huna habari kwamba wanalipwa fedha nyingi na US Intel agencies kuikandia Huawei stori zote CNN na Reuters wanazo tuletea hapa ni za kutunga tu - wapo wataalamu wa kutunga story za kubuni tu, CNN anakuja na ngonjera eti “Ericsson na Nokia wamesema wana uwezo mkubwa wa kuziba pengo litakalo tokana na kuondoka kwa Huawei kwenye ushindami wa 5G technology” who can take these skewed statements seriously, after all linapokuja suala la 5G technology Huawei is light years ahead ya washindani wao, wataalamu wote Duniani wa masuala ya mawasiliano kwa njia ya ki eletroniki wanajua ukweli huo, kwamba Huawei ndio inaongoza katika fani hii muhimu, Amerika inacho fanya ni kupandikiza fitina pamoja na wivu wa kijinga wakati wao wameshindwa ku-roll out a truly 5G beast to emulate Huawei success story, wapo wapo tu na roho zao za kutu.

Hivi CNN wana ushahidi gani wa kuonyesha kwamba kuna kikao chochote kilicho kuwa convened kuzungumzia suala la Huawei kupigwa marufuku kuuza mitambo yake ya mawasiliano in Continental Europe na Uingereza? I am a share holder wa British Telecoms 90 percent za mitambo ya mawasiliano ya BT ili nunuliwa kutoka kampuni ya Huawei wapo mbioni kui upgrade to 5G, share holders tunapewa taarifa kwa kila kitu kinacho endelea kwenye kampuni ya BT - binafsi sijapokea taarifa yoyote ya maandishi inayo sema kwamba Serikali ya Uingereza umemlazisha CEO kusitisha ushirikiano na kampuni ya Huawei, hakuna kitu kama hicho ndio maana nasema taarifa zinazo sambazwa na CNN ni za kutunga tu zenye lengo la kuonyesha Huawei ni hatari kwa usalama wa kila nchi itakayo kubali kutumia mitambo yao - ulaghai mtupu.

Kama nilivyo sema tangu mwanzo bifu za US Administration na kampuni ya ya Huawei inatokana na USA kukosa means na capacity ya kushindana na Huawei wanatamani sana ife!!

Kwa bahati nzuri Dunia imekwisha baini kinacho endelea nyuma ya pazia - Uncle SAM will never succeed to muzzle Huawei, welevu na wapenda maendeleo ya teknolojia mpya ya mawasiliano will always stick by Huawei 5G technology fitina za Trump na Pompeo notwithstanding.
 
Hizi propaganda tu mbona hamuongelei kuhusu google sasa hv nnapo andika haya wana saga lakuingilia faragha zawatu kwamitandao mnakwamia wap vijana ?!


CHINA hawezekani tena wawe wavumilivu tu
 
Sio wameshikwa akili na Marekani
Bali na wao wana Maslahi yao katika kadhia hii
Muingereza si Mjinga.....
Fuatilia mambo Bro...utajua chachu yake
Waingereza wanabebana na wamarekan ni marafik wa kwel sio undumilakuwili kwa jio ni lazima wapeane support manake kuna mengi sana nyuma ya pazia london anaombaga washington sasa kwa nn jamaa nae asipate support from london? Undugu ni kubebana
 
Ukipata jibu nitag mkuu
 

Oh, is it? Any idea what did Snowden tell the World about American NSA modus operandi - here you are raising wild allegations agaist China, US dirty campaign against Huawei reminds me the pot calling the kettle black, kinacho sikitisha zaidi ni kuona kuna basdhi ya waswahili wana join bandwagon ya Wamerikani ya kuwasema kuwazulia Wachina specifically kampuni ya Huawei.
 
Nilikusudia ashinde binafsi simielewi DT ila natamani sana DT ashinde.....
Unajua pale america nahis either ni chama kimoja kinaomgoza hizi zingine ni viin macho vya watu ama elites huwa wana yao wanajua manake matokeo hupangwa kabisa kwa akili sasa kwa mfano now, ni kwel dunia inamchukia sana DT lakin wenyw nchi yao wanamtaka manake wanakna ndio mtu mwenye guts zaidi, hebu ona democratic kumuweka Biden yaan ni kweli kabisa kwamba dems nchi nzima ndio candidate waliomuuona ama ni kurahisiha matokeo kwa DT
 
US ama DUNIA nzima mfumo wakuliendesha taifa husika kiutekelezaji unakua katika mifumo maalum hasa yakiusalama mashirika yakijasusi ndio yanaamua taifa lipelekwe vipi MKUU nandio maana wakibadilisha mfumo katika mataifa husika lazma watu wakule wapigwe chini sababu wao ndio wanaelewa ama kushikilia mwenendo mzima wataifa husika

Vile vyama pale US vipo tu.....
 
Waingereza wanabebana na wamarekan ni marafik wa kwel sio undumilakuwili kwa jio ni lazima wapeane support manake kuna mengi sana nyuma ya pazia london anaombaga washington sasa kwa nn jamaa nae asipate support from london? Undugu ni kubebana

Mkuu, Waingereza ni wajanja sana - wanangalia upepo unavyo vuma, kwa taarifa yako Waingereza wamewekeza sana huko Uchina na Wachina wamewekeza Uingereza, vile vile wanashirikiana kwenye masuala ya sayansi na teknojia - walivyo wajanja ebu fikiria statement hii kwanza: wanamwambia Trump kwamba mitambo ya Huawei itaondolewa taratibu watakamilisha zoezi ifikapo mwaka 2027 hii inakupa picha gani? Wanasema hivyo kumfurahisha Trump lakini deep down wanajua mpaka ifike 2027 Trump na chama chake kitakuwa kimeondoka madarakani na mambo mengi yatakuwa yamekwisha badirika Duniani na Kampuni ya Huawei ndiyo itakuwa kinara wa teknilojia hii si ajabu watakuwa wamekwisha zinduwa 6G and beyond.
 
Hahaha
 
Hata mimi hili la 2027 lilinishangaza asee ila umenifumbua
 
Hata Asia China is a bully so nchi kubwa na zenye masoko ya uhakika hazitaipa chance Huawei eg South Korea, Japan, Philippines, Taiwan na Vietnam . Wana mgogoro na China kuhusu South China sea
 
Hata Asia China is a bully so nchi kubwa na zenye masoko ya uhakika hazitaipa chance Huawei eg South Korea, Japan, Philippines, Taiwan na Vietnam . Wana mgogoro na China kuhusu South China sea
Masuala yamigogoro yamipaka yalikuwepo tu kabla lahili saga la HUAWEI je hakukua naushirikiano wakibiashara baina yao ukiwemo huu wa HUAWEI ?!
 
hebu nidokeze faida zake mkuu maana sio kwa ban hizo mara India mara kwa cameroon.
Umuhim wa 5G ni Uharaka wa kutuma n'a kupokea taarifa ziwe za kibiashara, kijeshi au Sayansi kwa haraka zaidi kwenda eneo husika. Maana yake dunia itahama kutoka 4G hadi hiyo 5G, ambayo kufumba na kufumbua utasikia au kuona jambo linalotendeka popote duniani au unaweza kuhisi tukio baya kutoka upande mwingine kwa haraka. 5G imeanzia USA n'a Washirika wake wa Magharibi, ila wanaitumia kwa kiwango kidogo wakisubiri kuhama 5G ifikapo 2025, ils China alichofanya ni kuzalisha 5G ya bei nafuu zaidi kama vile unafuu wa minara ya Halotel kutoka Vietnam hapa Tanzania. Sasa China anatafuta soko la walio tayari kufungiwa, maana inaitajika angalau nusu ya dunia iwe imefungwa minara ya 5G ili dunia iame huko. Faida za 5G ni, kuboreka kwa matumizi ya gari zisizokuwa na dreva, cctv kamera zitakuwa na uwezo kuonyesha mahari popote mjini, kuonekana kwa mtu popote alipo, uharaka wa taarifa, drones kufanya kazi vizuri na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…