GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Ongea na customer service Vodacom utasaidiwa.Nimesha renew shida inakataa kuhamisha salio Toka mpesa!!
Napata ujumbe your card expired!!
FNB account rahisi sana kuilink na skrilll na ukihamisha ela toka fnb to skrill ni dakika chache inasomaYani ingekubal kulink na skrill ingekua poa sana
Haina gharama ni bure tuVipi Mkuu kuhusu gharama za kutengeneza hii kadi?
Itabidi nifungue FNB. Vipi monthly charges zao?FNB account rahisi sana kuilink na skrilll na ukihamisha ela toka fnb to skrill ni dakika chache inasoma
za kawaida sana kiasi kwamba hatahela inayobaki ukitaka kausha account ni below 5000.Itabid nifungue FNB. Vipi monthly charges zao?
Kuna jamaa napiga nao deals, sasa wananilipaga kwa skrill, ndio njia niliyochagua. Basi poa mkuu, nitawachek hawa FNBZa kawaida sana kiasi kwamba hata ela inayobaki ukitaka kausha account ni below 5000.
Unatumia skrill kufanya nini mkuu
Oooh waustralia nn maana ni mtandao wa Australia, au fanya kuagiza kadi ya payoneer then ilink na skrill, maana hata mimi deals nazolipwa kwa skrill uwa nazihamishia kwenya akaunti ya payoneer ya AUD ya Australia au kama siyo AUD ikiwa EURO nazituma kwa skrill kwenda akaunti ya EURO germany ila uzuri skrill si una convert currency kabla ya kuituma so its all goodKuna jamaa napiga nao deals..sasa wananilipaga kwa skrill..ndio njia niliyochagua
Basi poa mkuu...nitawachek hawa fnb
Payoneer niliagiza card hawakunipa...nikatemana nao..sasa nataka nitumie hizi international banks zingine tu....Oooh waustralia nn maana ni mtandao wa Australia, au fanya kuagiza kadi ya payoneer then ilink na skrill, maana hata mimi deals nazolipwa kwa skrill uwa nazihamishia kwenya akaunti ya payoneer ya AUD ya Australia au kama siyo AUD ikiwa EURO nazituma kwa skrill kwenda akaunti ya EURO germany ila uzuri skrill si una convert currency kabla ya kuituma so its all good
Uliagiza lini? zamani ilikuwa ukfungua tu wanakutumia kwa sasa hv ili uagize inabdi uwe USD 32 kwenye akaunti yako. Na kumbuka unailipia $30 kwa mwaka na iki expire kuagiza tena utailipa usd $12. Inanisaidia sana sana toka mwaka2013Payoneer niliagiza card hawakunipa...nikatemana nao..sasa nataka nitumie hizi international banks zingine tu....
Asante sana Mkuu kwa taarifaHaina gharama ni bure tu
Niliomba mwaka jana kati kati ya mwaka...nahis watakua ndio walianza labda hyo system ya 32 usd..Uliagiza lini? zamani ilikuwa ukfungua tu wanakutumia kwa sasa hv ili uagize inabdi uwe USD 32 kwenye akaunti yako. Na kumbuka unailipia $30 kwa mwaka na iki expire kuagiza tena utailipa usd $12. Inanisaidia sana sana toka mwaka2013
Poa mkuu mimi FNB sijawahi kutoa ela skrill kuweka fnb ila nilitoa fnb kuweka skrill na ilikuwa fasta sanaNiliomba mwaka jana kati kati ya mwaka...nahis watakua ndio walianza labda hyo system ya 32 usd..
Ngoja nistick tu na hyo fnb ,j3 nikawachek
Unatumia skrill personal au merchant account?Poa mkuu mimi FNB sijawahi kutoa ela skrill kuweka fnb ila nilitoa fnb kuweka skrill na ilikuwa fasta sana
Personal mkuu na nimeisha iverifyUnatumia skrill personal au merchant account?
Kuna mtu atanitengenezea akaunti na kuiverify akiwa germany so nitakuwa natumia account iliyo kwenye jina lake mkuu. Etsy malipo napokea via bank accountOh hapo kwenye PayPal unatumia njia gani?
Mimi pia nacreate online store Woocomerce ila Bado na research payment gateway.
Sawa mkuu, we will keep in touch katika hustle zetu huku mitandaoni.Kuna mtu atanitengenezea akaunti na kuiverify akiwa germany so nitakuwa natumia account iliyo kwenye jina lake mkuu. Etsy malipo napokea via bank account
Sawa mkuu shop yangu ikiwa tayari nitashare naweSawa mkuu, we will keep in touch katika hustle zetu huku mitandaoni.
Tutapata tu njia