Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

Nimeweka pesa kwenye card yangu ya M-Pesa Mastercard kila nikiaribu kununua inagoma na kila kitu nimejaza

ebay.PNG
 
Itabid nifungue FNB. Vipi monthly charges zao?
za kawaida sana kiasi kwamba hatahela inayobaki ukitaka kausha account ni below 5000.
Unatumia Skrill kufanya nini mkuu
 
Za kawaida sana kiasi kwamba hata ela inayobaki ukitaka kausha account ni below 5000.
Unatumia skrill kufanya nini mkuu
Kuna jamaa napiga nao deals, sasa wananilipaga kwa skrill, ndio njia niliyochagua. Basi poa mkuu, nitawachek hawa FNB
 
Kuna jamaa napiga nao deals..sasa wananilipaga kwa skrill..ndio njia niliyochagua

Basi poa mkuu...nitawachek hawa fnb
Oooh waustralia nn maana ni mtandao wa Australia, au fanya kuagiza kadi ya payoneer then ilink na skrill, maana hata mimi deals nazolipwa kwa skrill uwa nazihamishia kwenya akaunti ya payoneer ya AUD ya Australia au kama siyo AUD ikiwa EURO nazituma kwa skrill kwenda akaunti ya EURO germany ila uzuri skrill si una convert currency kabla ya kuituma so its all good
 
Payoneer niliagiza card hawakunipa...nikatemana nao..sasa nataka nitumie hizi international banks zingine tu....
 
Uliagiza lini? zamani ilikuwa ukfungua tu wanakutumia kwa sasa hv ili uagize inabdi uwe USD 32 kwenye akaunti yako. Na kumbuka unailipia $30 kwa mwaka na iki expire kuagiza tena utailipa usd $12. Inanisaidia sana sana toka mwaka2013
 
Niliomba mwaka jana kati kati ya mwaka...nahis watakua ndio walianza labda hyo system ya 32 usd..

Ngoja nistick tu na hyo fnb ,j3 nikawachek
 
Poa mkuu mimi FNB sijawahi kutoa ela skrill kuweka fnb ila nilitoa fnb kuweka skrill na ilikuwa fasta sana
 
Oh hapo kwenye PayPal unatumia njia gani?
Mimi pia nacreate online store Woocomerce ila Bado na research payment gateway.
Kuna mtu atanitengenezea akaunti na kuiverify akiwa germany so nitakuwa natumia account iliyo kwenye jina lake mkuu. Etsy malipo napokea via bank account
 
Sawa mkuu, we will keep in touch katika hustle zetu huku mitandaoni.
Tutapata tu njia
 
Back
Top Bottom