Ndilo tatizo kuu la remnant colonial mentality - waswahili walio wengi wana amini/kubali sana analysisi za wazungu,wahindi lakini si mswahili mwenzao - watamsema sema, kumkejeri kejeri lakini hawaleti maoni mbadala wasomaji wakalinganisha na kuhafiki hoja ambayo wataona ina mantiki.