Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

Hii vita ingekuwa ni Russia na Ukraine pekee yake Ukraine angeshapotea muda mrefu sana.

Tatizo ila mijamaa ya NATO Ikiongozwa na Marekani. Na hii Vita NATO na washirika wanaifurahia kwa kuwa inamdhoofisha Mrusi.
Vipi kuhusu Korea, Irani na Chechnaya
 
Kwa hiyo inteligensia ya jeshi la Ukraine imeshindwa kujua huo mtego, wewe ndio umeugundua. Waswahili tuna shida sana.

Ndilo tatizo kuu la remnant colonial mentality - waswahili walio wengi wana amini/kubali sana analysisi za wazungu,wahindi lakini si mswahili mwenzao - watamsema sema, kumkejeri kejeri lakini hawaleti maoni mbadala wasomaji wakalinganisha na kuhafiki hoja ambayo wataona ina mantiki.
 
Back
Top Bottom