Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Daaaah, katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi? Kuna nini kinaendelea?

Nimefurahi kuona Nusrat Hanje amekula shavu,huyu dada ameipigania sana Chadema!
Tulikuambia wewe si lolote Chadema bali ni vuvuzela tu!!
 
MATAGA wanashangilia MDEE kurudi Bungeni, ila moyoni wanaumia kwakuwa walimtukana matusi yote!

Poleni sna MATAGA na UV-CCM
 
Siku hizi bunge lina vichwa vichache hivi au majimbo yamepunguzwa idadi?.Hahahaaaaaa
 
Points pia....
 
Sheria ya tume inawataka Chadema wapeleke majina ya viti maalum.
Katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile.
Unaweza kuthibitisha kuwa kuna sheria inayosema katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile kama unavyojinasibu hapa?
 
I like mtanzania anayejali uzalendo. Tunawatakia kila la kheri, wachape kazi
 
Unaweza kuthibitisha kuwa kuna sheria inayosema katibu wa chama asipotii basi mwenyekiti wa Bawacha taifa anamamlaka ya kupeleka majina kivyovyote vile kama unavyojinasibu hapa?
Kasome vizuri mamlaka ya mwenyekiti wa Bawacha kwenye katiba ya Chadema inasemaje.
 
Hii move ilikua muhimu, hili siyo suala la ushabiki, ni kupiginia haki. Nashukuru sana kwamba Halima Mdee, Jesca Kishoa, Matiko na Bulaya, wapo bungeni. Kulingana na ushabiki wa pande zote mbili, ambao wote watawaponda kwamba ni wachukia tumbo wasaliti nk, mimi naona ni mashujaa! Hatua ya kwenda bungeni biyond all the odds, ni ushujaa uliotukuka, na hata ambao hawaelewi kwa sasa wataelewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…