Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Hakuna upinzani bongo, kama nawaona wapiga zumari wa humu [emoji23][emoji23][emoji23] hadi huruma
 
Kasome vizuri mamlaka ya mwenyekiti wa Bawacha kwenye katiba ya Chadema inasemaje.
Unaelewa kuwa mamlaka ya BAWACHA haiko juu ya maamuzi ya chama?Unaelewa kuwa kama chama kimeshaweka msimamo fulani BAWACHA au BAVICHA hawana mamlaka ya kutengua maamuzi hayo?
 
Wewe ni vuvuzela tu wala hujulikani uko na msimamo upi mwanzo ulikuwa hamuutambui uchaguzi na Kibaraka Lissu jana tu akiongea na vyombo vya habari huko kwa mabeberu alisema hawatashiriki kwenye bunge. Leo bunge viti maalum wameapishwa! Nasikia na ACT Wazalendo nao watashiriki kwenye serikali ya Zanzibar. Sasa nyumb itabidi mlie tu!
 
Ingawa sijafurahishwa lkn Bora hawa kuliko tungewaacha kina babutale,kibajaji,msukuma nk eti wajadili report ya CAG
 
Unaelewa kuwa mamlaka ya BAWACHA haiko juu ya maamuzi ya chama?Unaelewa kuwa kama chama kimeshaweka msimamo fulani BAWACHA au BAVICHA hawana mamlaka ya kutengua maamuzi hayo?
Wewe ni nani kwenye CHADEMA!! Tuliza mshono wakina mama wameshaapa tayari Dodoma!
 
Wanaccm ya ajabu sasa watawadhihaki weee wakati walitumia nguvu sana kuwashawish ili kukubali kuja bungeni, ccm Wapunguze kebehi ili tufanye kazi sasa
 
Nonsense, halafu useme uchaguzi haukuwa huru na haki?
Naelewa frustration yako mkuu, lakini hii ni fursa kwa hawa dada zetu na kwa chama pia! Kuna tone dogo, milioni 19, litakuwa linasaidia mti wetu, CHADEMA, usikauke moja kwa moja! Alafu kama usipokuwa uwanjani, utachezea wapi mchezo huu wa siasa?! Kumbuka siasa zilizuiwa kwa miaka mitano, na wengi ambao hawa kuwa uwanjani wakapotea kabisa kisiasa!! Tuwaache dada zetu wapeleke angalau nuru kidogo mle gizani!!
 
Mungu wangu! Halima Mdee umeuvunja moyo wangu kwa namna isiyoelezeka!
Basi nimekoma jamani, sitaki tena kushabikia wanasiasa!
Nimekoma!
Pole utakufa na stress! Kunywa maji mengi.
 
Hahahhaha...
Mimi hapa namtafuta tindo na yule mzee wa icc ndugu lord dening

Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…