mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Safi mm nitakua wakwanza kukuunga mnoShubaamiti zenu WanaUfipa nilikuwa nawasapoti kumbe wote ni wachumia matumbo mavi mavi.
Kwa hasira naenda UDOM kuchukua degree in Political science and leadership.Nikirudi huko taanzisha chama langu.[emoji57][emoji19]
Nasikia wamejificha nyuma ya kibanda chao pale ufipa wakiendelea na maumivu yao! Sky Eclat mugah di mathew Lord denning Erythrocyte mnaitwa hukuu!!??Nimewakumbuka mahasimu wangu Lord denning mugah di mathew Sky Eclat Erythrocyte tindo 4G LTE Bramo denooJ Najua vile mnateseka sasaivi!!! Mungu awe mfariji wenu. Awape miaka mingi duniani mshuhudie Tanzania mpya, Tanzania ya Magufuli👏👏
Misimamo gn.KamasionjaaHao wabunge mnaowanadi hapa wana msimamo? [emoji848]
Siyo usaliti wache wakatuwakilishe ili at least wakalete changamoto.Mm kea kipekee nilikuwa nawamisi Sana halima mdee,esther bulaya na matiko.Ninauhakika watafanya kitu.Aluta Continua .Viva Chadema Viva.Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020.
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester Bulaya
6. Agnesta Kaiza
7. Nusrat Hanje
8. Jesca Kishoa
9. Hawa Mwaifunga
10. Tunza Malapo
11. Felister Njau
12. Naghenjwa Kaboyoka
13. Sophia Mwakagenda
14. Kunti Majala
15. Stela Fiayo
16. Anatropia Theonest
17. Salome Makamba
18. Conchesta Rwamlaza
19. Asia Mohammed
HOTUBA FUPI YA HALIMA MDEE KWA NIABA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CHADEMA
Nikishukuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata
"Mh. Spika tumefanya kazi wote kwa miaka zaidi ya 10, tutafanya kazi kwa uaminifu kama Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa uadilifu mkubwa, tuna vijana wapya sisi kama dada zao tutahakikisha wanafanya kazi nzuri kwa ajili ya Taifa hili
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu
Zaidi tuwahakikishie wana CHADEMA nchi nzima, tutafanya kazi mliyotutuma kwa uaminifu na kwa uadilifu mkubwa sana, Mh Spika nikushukuru sana, wewe na chama chetu"
SPIKA NDUGAI: Muongezeeni makofi Halima, ningependa kuchukua nafasi hii kuwapongeza wabunge wapya na kwa niaba yenu wote ningeomba tuwapigie makofi.
Kwa mujibu wa ibara ya 78, ibara ndogo ya kwanza ikisomwa na ibara ya 66, ibara ndogo ya 1(B)
Suala hili lilizungumziwa na mwanaJF hapa > Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na wanawake wa CHADEMA
CHADEMA yakanusha kupeleka majina > John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum, tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua
Tena sio njaa ndogoMisimamo gn.Kamasionjaa
Hahahahahahahhaaha daah safiMimi pia ndugu,sitaki tena siasa.ngoja nihamie jukwaa LA mapenzi tu.dahhh
Meseji kwa Amsrterdam na western Countries na USA Siasa za Tanzania ni pasua kichwa wakae nazo mbali
Tanzania ni peculiar country Africa kama ilivyo China
Ni nchi mbili tu duniani zilizo peculiar kwenye politics China na Tanzania tu
Leave Tanzania alone
Kuna taarifa humu JF kuwa kaachiwa jana usiku!Nusrat ametoka Rumande?
Nasikia wamejificha nyuma ya kibanda chao pale ufipa wakiendelea na maumivu yao! Sky Eclat mugah di mathew Lord denning Erythrocyte mnaitwa hukuu!!??
Mmmh endelea kuota!Hizi ndiyo siasa. Ukitazama the positive side, Magu huenda akalazimika kuachia nafasi ambapo kama angeshinda bila ya magumashi asinge entertain hiyo!
Erythrocyte unaitwa hukuErythrocytes nae kala kiapo?
Nani kakwambia kuwa mimi nina uanachama wa Chadema?Mimi ni mfuasi wa upinzani na daima itakuwa hivyo!Tulikuambia wewe si lolote Chadema bali ni vuvuzela tu!!
Kama unamachungu Sana jinyonge kwanza wewe nawengine tutaanza kulipizaAlafu nimesikia spika akiaapa kuwalinda hii ni hujuma chadema tulipizeni kisasi
Naambiwa amezimia kwa stress pale ufipa sijui atanyanyuka tena! mugah di mathew amka unaitwa huku!!Tuliwaonya sana
Tena kwa upendo nilimwambia ndugu yangu mugah di mathew aje tujenge nchi akakaidi
Nikamwambia Tanzania hakuna wa kupingana na rais John Pombe Magufuli akagomaa
Nikamwambia ipo siku atajua hajui