Sema wewe siyo wananchi. Usiwasemee watz mkuu! Sema umebaki wewe na Kibaraka Amsterdam
Pole sana mkuu! Tulijua tu muda ukifika mtaikana tu hiyo Saccos yenu ya Chadema!Nani kakwambia kuwa mimi nina uanachama wa Chadema?Mimi ni mfuasi wa upinzani na daima itakuwa hivyo!
Ila wameumiza watu kinoma hawa.Mwanasiasa nje ya siasa ni njaa tu. Kama Wassira alikuwa anasema hana la kufanya nje ya Ubunge, mtu kama Halima kakaa bungeni miaka 10 lakini bado ana njaa. Halafu utasikia jamani vijana mjiajiri.
Huwa ninawatazama sana vijana wenye mzuka eti wako tayari kupigania haki. Mnapigana vipi wakati hamjui wenzenu wanatafuta nini? Ili kutimiza ndoto zako tafuta wajinga wa kukuunga mkono wakiamini unaawapigania. Halafu we huyo... Utasikia na Zanzibar jamaa kakubali.
Msimamo wako na nani wakati Saccos tayari imeshalegea?Nasema hivi, sisi msimamo wetu uko pale pale. Hutaki jinyonge.
Kwa hali hii mwananchi gan atakaekuwa tayr kuwasikiliza na kuwaelewa watanzania karbu wote wachumia tumbo ,vigeugeu na hatuna misimamo tunaangalia sana maslai kuliko kuliko haki na ukwel .twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
Ulitaka wasipeleke wabunge viti maalumuHakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Mimi niliacha kuwa kimbelembele na wanasiasa pale tu CHADEMA walipomchukua Lowassa waliyemsema miaka zaidi ya 6 kuwa ni fisadi kuu na kujaribu kumsafisha. Nilijua kama wameweza kuyakana waliyoyasema basi wanaweza kufanya chochote hawaaminiki. Toka kipindi hicho siwaamini wanasiasa
Huna sababu ya kuchoma kadi, mkuu subili tamko la chama ,hakuna aliejuu ya chama Hawa watatimliwa Sasa hivi,chadema imetoka mbali, chadema Ina vichwa maelfu kwa maelfu ,chadema utabaki kua chadema, chadema ni chuo Cha kupika viongozi na vijana na ikikutema unapotea ,na kupoteza heshima kwenye jamii yako ,subili tu hao kisiasa watapotea Sasa hivi ,hiyo ndo chadema chama chenye roho sabaLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Nitaendelea kuwa mfuasi wa upinzani,na kama CDM ndio yenye nguvu basi ndio hiyo nitaipigia chapuo!Pole sana mkuu! Tulijua tu muda ukifika mtaikana tu hiyo Saccos yenu ya Chadema!
Kalipize kwa wazazi wako wewe ass!Alafu nimesikia spika akiaapa kuwalinda hii ni hujuma chadema tulipizeni kisasi
Wapi spana spana spana jamaani wapi ni YEYE2020 nionyesheni tafafadhali.Hongera Mbowe, wewe ni mzalendo kwa nchi yako.Achana na hilo dubwasha la kinyaturu,
Wanaume kifua tunajuaNasema hivi, sisi msimamo wetu uko pale pale. Hutaki jinyonge.
Wewe ni vuvuzela tu huna lolote. Tulikueleza mapema huna chochote kwenye Saccos!Nitaendelea kuwa mfuasi wa upinzani,na kama CDM ndio yenye nguvu basi ndio hiyo nitaipigia chapuo!
Sijawahi kuyumba kwenye hilo na kwa sasa naiunga mkono Chadema!