Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

CHADEMA hata wakiwafukuza hao wamama namuona Ndugai akiwarudisha kwa Style ya Cecil Mwambe. Swala la Kufuata katiba tuko nyuma sana aisee
 
Ni kwamba wale akina Mama wa chadema walitakiwa kula kiapo january bali AMRI toka juu imeamua waapishwe mara moja. Kuna nafasi kadha za unaibu watawatest hao akina mama.Je watazikataa? Stay tuned my good people
 
Wewe ni vuvuzela tu huna lolote. Tulikueleza mapema huna chochote kwenye Saccos!
Wewe ni mwehu,mimi ni mtumishi na sinufaiki chochote na chama chochote!Ila naiunga mkono Chadema,kama unateseka ni juu yako!
 
Akili za kuambiwa changanya na zako... Hawa ndo walitaka kutuandamisha ... kudadek kisa kukosa ubunge , baada ya kuona ngoma ngumu wameona isiwe tabu.
 
twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
 
Una moyo mgomo sana, katibu mkuu mnyika kishasema kuna hatua zinachukuliwa dhidi yao na bado anasisitiza chama hakijateua mtu
 
Ni kwamba wale akina Mama wa chadema walitakiwa kula kiapo january bali AMRI toka juu imeamua waapishwe mara moja. Kuna nafasi kadha za unaibu watawatest hao akina mama.Je watazikataa? Stay tuned my good people
Katiba ya Chama cha Mapinduzi inaagiza Waziri ni lazima awe mbunge aliyetoka na Chama Cha Mapinduzi.
 
Actually, sioni vibaya. Itakuwa vibaya kwa upinzani ikiwa wamekubali kwa 'vipesa'. At what price? Bei pekee inayotoshana ni makubaliano ya Katiba mpya, Tume Huru huru 2025, kuacha kabisa uonevu wa polisi…….yaani vinginevyo, au yakikiukwa twajitoa! Lakini najua haya ni far fetched kwa wanasiasa wetu wa upinzani. Huenda wenyewe wakipata madaraka hawatatofautiana na waliopo sasa!
 
HAKUNA mwana Chadema yeyote atakayekataa uteuzi, kiufupi wamehalalisha haramu waliyokuwa wanaihubiri.

Njaa Ina adhabu na inauwezo wa kuteka nyara uwezo wa kufikiri.

Sijaamini Kama Chadema wamefanya haya! Magufuli akiamua kuongoza miaka kumi ijayo kumbe inawezekana!
 
Uhasimu utaisha kwa hao wanawake kwenda bungeni, au unadhani wao wanashikilia misimamo yetu?
Wakileta maendeleo kwenye chama mtakimbua
Halafu kizuri wengine ni wake zenu..... waambieni wagomee mishahara na posho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…