Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ni nani aliyekudanganya viti maalum ndio ruzuku?Bila hawa wabunge Chadema haina ruzuku na Mnyika hana mshahara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani aliyekudanganya viti maalum ndio ruzuku?Bila hawa wabunge Chadema haina ruzuku na Mnyika hana mshahara!
CHADEMA hata wakiwafukuza hao wamama namuona Ndugai akiwarudisha kwa Style ya Cecil Mwambe. Swala la Kufuata katiba tuko nyuma sana aiseeHuna sababu ya kuchoma kadi, mkuu subili tamko la chama ,hakuna aliejuu ya chama Hawa watatimliwa Sasa hivi,chadema imetoka mbali, chadema Ina vichwa maelfu kwa maelfu ,chadema utabaki kua chadema, chadema ni chuo Cha kupika viongozi na vijana na ikikutema unapotea ,na kupoteza heshima kwenye jamii yako ,subili tu hao kisiasa watapotea Sasa hivi ,hiyo ndo chadema chama chenye roho saba
By the way NAOMBA TARATIBU WAPI NACHUKUA KADI YA CHADEMA NAONA MDA WANGU WA KUJIUNGA NA CHAMA CHA SIASA UMEFIKA NA MOYO WANGU, NA AHADI YANGU ,NA MAPENZI YANGU YA DHATI NAJIUNGA NA CHADEMA
Wewe ni mwehu,mimi ni mtumishi na sinufaiki chochote na chama chochote!Ila naiunga mkono Chadema,kama unateseka ni juu yako!Wewe ni vuvuzela tu huna lolote. Tulikueleza mapema huna chochote kwenye Saccos!
Nimemsikia Halima akitoa hotuba fupi baada ya kuapishwa akikishukru chama na Mwenyekiti wake Mbowe. Kwamba chama na Chairman wametoa baraka zao zote kwa Wabunge 19 wa kuteuliwa kwenda kula kiapo!
Nina amini CHADEMA uongozi wa juu kwa maana ya CC na watakuwa wamekaa na kuzungumxia hii habari. Naamini Tundu Lissu atakuwa amehusishwa na kufikia mwafaka l
Mimi napenda kuwapongeza CHADEMA kwa uamzi huu wa kishujaa. Nitaeleza :
- Wamepeleka Wabunge wanawake ambao ni MAJEMBE kwa kuchangia hoja, kujenga hoja,kupangua na kuchambua hoja. Sina shaka na Halima, Esther, Pareso na wengine ni Wabunge makini sana,
- CHADEMA wameona mbali. Kwa vile JIWE alikuwa na nia ya kuua na kufuta UPINZANI Bungeni hasa KUB kwa move hii JIWE atakwama. Tayari CHADEMA ina Wabunge 20 ndani ya Bunge watakaou ngana na wale wa ACT Wazalendo na yule 1 wa CUF.
- Napendekeza Mhe. Halima Mdee awe Kiongoxi wa KUB ili apambane na mafisi wa CCM Bungeni.
- Hii itakuwa ni FURSA YA CHADEMA, ACT na CUF kupaza sauti zao kuelexa MADUDU NA MAOVU YOTE YA WIZI WA KURA ULIOFANYWA NA CCM wakti wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
- CHADEMA pia watakuwa wameepuka kufutika katika siasa za Upinzani kwa kuendelea KUPATA RUZUKU ITAKAYO KISAIDIA CHAMA KUJIENDESHA. Tusidanganyane chama bila fedha iwe ya Michango ya Wanachama au RUZUKU hakiwezi ku-survive.
Hivo wabunge 19 mlioteuliwa kupeperusha bendera ya CHADEMA Bungeni kapigeni kazi kuonesha uhai na uwepo wa CHADEMA Chama chenye nguvu Tanzania. MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Anawazuga tu wafia chamaView attachment 1633910
unazungumzia Mnyika yupi
Katiba ya Chama cha Mapinduzi inaagiza Waziri ni lazima awe mbunge aliyetoka na Chama Cha Mapinduzi.Ni kwamba wale akina Mama wa chadema walitakiwa kula kiapo january bali AMRI toka juu imeamua waapishwe mara moja. Kuna nafasi kadha za unaibu watawatest hao akina mama.Je watazikataa? Stay tuned my good people
Nimewakumbuka mahasimu wangu Lord denning mugah di mathew Sky Eclat Erythrocyte tindo 4G LTE Bramo denooJ Najua vile mnateseka sasaivi!!! Mungu awe mfariji wenu. Awape miaka mingi duniani mshuhudie Tanzania mpya, Tanzania ya Magufuli👏👏
YapendezaaaaaTz ni yetu..
Alisema hawezi kukubali kuingia Bungeni eti ‘kubariki haramu’🙂Wapi Hilda newton [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakileta maendeleo kwenye chama mtakimbuaUhasimu utaisha kwa hao wanawake kwenda bungeni, au unadhani wao wanashikilia misimamo yetu?