Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Kumbe hakuna umuhimu wa kupiga kura Sasa Bora waseme nchi ni ya chama kimoja tu basi mambo yaende , anayetaka ubunge ajiunge CCM Basi daah
Kamanda cool down banaa....

Pambaneni iko SIKU mtakwenda ikulu banaa....🤣🤣
 

Msimamo uko pale pale boss, usiwe na haraka maana utaona mengi ambayo hukuyategemea.
 
Hatua hii ya akina Mdee na wenzake ilikuwa ya muhimu katika kuifanya Chadema iondoke kwenye mikono ya Mbowe na genge lake na kuwa milki ya umma.
 
Wakileta maendeleo kwenye chama mtakimbua
Halafu kizuri wengine ni wake zenu..... waambieni wagomee mishahara na posho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Walete maendeleo toka kwenye bunge la wamwaga damu na wezi wa kura?
 
Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Kachome. Maalim Seif alipogomea uchaguzi nini kilitokea? Mugabe alipong'ang'ania madarakani na kususiwa na dunia nzima walioumia ni wananchi wa kawaida lakini watawala waliendelea kula bata. Wewe hilo hulioni?
 
Your browser is not able to display this video.


Nilijua kwa hakika kuwa ukweli ungejulikana tu! Sikufikiria ingekuwa mapema kiasi hiki, mfukuzeni sasa! Si msaliti...
 
Kachome. Maalim Seif alipogomea uchaguzi nini kilitokea? Mugabe alipong'ang'ania madarakani na kususiwa na dunia nzima walioumia ni wananchi wa kawaida lakini watawala waliendelea kula bata. Wewe hilo hulioni?
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…