Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣Sihasa
Walaa....Huu ungese.
Kuna watu wamepoteza mali wengine uhai kabisa kupigania haki leo viongozi waliokuwa mbele wanatushawishi tuandamane wanaona watakosa ruzuku wanaamua kukubali kimya kimya..
Walichokifanya Halima na wenzake ni upuuzi wa kiwango kikubwa. Kuuvumilia upuuzi huu inabidi uwe maiti!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kutangaza vifo vya Corona mkuu. Upinzani umeshakufa!
Hupendi nchi yako, hupendi Maisha yako wala ya wajukuu wako. Full stop. Na usitake wengine wawe kama wewe selfish, megalopolia, mocchocropistolias!Huwa nawashangaa sana watu wanaokosa kazi kutwa kwenye mitandao ya kijamii wakiwapambania wanasiasa ... wanasiasa wenyewe ndo' hawa? Wakakupeleke uandamane ukavunjwe alafu wao hawa hapa washaingia bungeni ... wanasiasa wenyewe hawa ndimi mbilimbili wasiojua upande wao ni upi.
Sina huo muda.
🤣🤣Huwa nawashangaa sana watu wanaokosa kazi kutwa kwenye mitandao ya kijamii wakiwapambania wanasiasa ... wanasiasa wenyewe ndo' hawa? Wakakupeleke uandamane ukavunjwe alafu wao hawa hapa washaingia bungeni ... wanasiasa wenyewe hawa ndimi mbilimbili wasiojua upande wao ni upi.
Sina huo muda.
Hao ni shujaa wa nchi waliosimalia msimamo wao.Walaa....
Wewe mwenyewe unachat hapa kwa UTULIVU kwa kuwa kuna WATU WALIPOTEZA MALI NA UHAI WAO kutufanya hivi tulivyo....
Akina Dossa Azizi...
Akina Dr.Kyaruzi...
Akina Harith Mwapachu...
Akina Ally Sykes.....
Akina Abdulwahid Sykes....
Akina Mashado Plantan....
Akina John Rupia....
Akina NDESAMBURO...
THE LIST IS LONG....
Nini hao UWASEMAO?!!!
Unga juhudi...jiunge na CCMLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Kwahyo wewe unawaona hawa ndo wanaopenda nchi yako eti? Watu wasiojua upande wao haswa ni upi? Watu kama sigara kali? Pole ndugu kama ndivyo ujidanganyavyo. Hamna mpigania nchi hapo na kama wewe unadhani kupelekwapelekwa kushoto na kulia kama mtumbwi mtoni ndo kupenda nchi, then you are just a qualified moron.Hupendi nchi yako, hupendi Maisha yako wala ya wajukuu wako. Full stop. Na usitake wengine wawe kama wewe selfish, megalopolia, mocchocropistolias!
🤣🤣Hao ni shujaa wa nchi waliosimalia msimamo wao.
Chadema walisema hawaitambui hii serikali na hawatakubali kushilikiana nao. Leo wanaenda kimya kimya si bora wangekubali tu tokea mwanzo
Alafu tuwaamini ndo wapigania nchi hawa? Wengine wameuawa na kujeruhiwa mno kisa wao then wanachoambulia ndo hiki ... watu wamaenda kulamba miguu[emoji1787][emoji1787]
Na Maalim Seif yuko mbioni KUSINDIKIZWA NA VING'ORA...
🤣🤣Nyumbu ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani ni unyumbu huo