Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

MAGUFULI ERA ni project mtambuka ya MASLAHI YA NCHI.....

Hivi unadhani CCM hawakujua UKALI NA MISIMAMO ISIYOYUMBA ya Magufuli?!!!

Hivi unadhani CCM hawakujua nao baadhi yao WATAATHIRIKA na misimamo ISIYOYUMBA ya MAGUFULI?!!!

NDIO MJUE KUWA Magufuli ni MELES ZENAWI na Lee Kun Yew wa TANZANIA.....

Kipindi HIKI ni KUIJENGA NCHI TU....hayo ya "domokrasi" na nyeenyeeee YATAKUJA huko mbeleni WAKATI NCHI IKIWA IMEPIGA HATUA KUBWA za miundombinu na KUBADILI MASS MENTALITIES za hovyo hapa nchini......

MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Uchaguzi ulipokwisha nilieleza hali halisi na nikasema hivi Tanzania upinzani hakuna, tuvunje vyama vya upinzani tuunde chama kimoja chenye dira ya kushika madaraka hapo baadae, nikasema agenda iwe tume ya uchaguzi, ikitokea watawala hawataki tusiwew tuna shiriki uchaguzi tuwaachie watawala waendelee was watakavyo maana kwa kushiriki chaguzi Zak na baadae bunge ni kubariki maovu, sasa baada kama ya week tatu leo tumepeleka wabunge kubariki mambo yale yale kwa miaka 5 ijayo tutakuja tuwaambie nini wananchi? , anyway tuwaache wabunge wajipatie kipato tuna watu wengi wana tuzunguka, pia umoja wa taifa letu ni muhimu zaidi, tukubali tumekosea tuanze upya.
 
Huu ungese.
Kuna watu wamepoteza mali wengine uhai kabisa kupigania haki leo viongozi waliokuwa mbele wanatushawishi tuandamane wanaona watakosa ruzuku wanaamua kukubali kimya kimya..
 
Huu ungese.
Kuna watu wamepoteza mali wengine uhai kabisa kupigania haki leo viongozi waliokuwa mbele wanatushawishi tuandamane wanaona watakosa ruzuku wanaamua kukubali kimya kimya..
Walaa....

Wewe mwenyewe unachat hapa kwa UTULIVU kwa kuwa kuna WATU WALIPOTEZA MALI NA UHAI WAO kutufanya hivi tulivyo....

Akina Dossa Azizi...
Akina Dr.Kyaruzi...
Akina Harith Mwapachu...
Akina Ally Sykes.....
Akina Abdulwahid Sykes....
Akina Mashado Plantan....
Akina John Rupia....
Akina NDESAMBURO...

THE LIST IS LONG....

Nini hao UWASEMAO?!!!
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaokosa kazi kutwa kwenye mitandao ya kijamii wakiwapambania wanasiasa ... wanasiasa wenyewe ndo' hawa? Wakakupeleke uandamane ukavunjwe alafu wao hawa hapa washaingia bungeni ... wanasiasa wenyewe hawa ndimi mbilimbili wasiojua upande wao ni upi.

Sina huo muda.
 
Watanzania na mashabiki wa CDM tusiwalaumu wakinahalima na kuwaita wasaliti. Kama waliitisha maandamano tukawagomea manayake tuliwasaliti sasa acha wafate katiba na tuwasapoti. Mambo ya kusema wamesaliti ni unafiki kabisa. Wacho tuonje chungu ya usaliti wetu ili tujifunze na sikunyingine tukiambiwa tuwasapoti kwa maandamano hatutasaliti tena.
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaokosa kazi kutwa kwenye mitandao ya kijamii wakiwapambania wanasiasa ... wanasiasa wenyewe ndo' hawa? Wakakupeleke uandamane ukavunjwe alafu wao hawa hapa washaingia bungeni ... wanasiasa wenyewe hawa ndimi mbilimbili wasiojua upande wao ni upi.

Sina huo muda.
Hupendi nchi yako, hupendi Maisha yako wala ya wajukuu wako. Full stop. Na usitake wengine wawe kama wewe selfish, megalopolia, mocchocropistolias!
 
🤣🤣
Na Maalim Seif yuko mbioni KUSINDIKIZWA NA VING'ORA...
 
Walaa....

Wewe mwenyewe unachat hapa kwa UTULIVU kwa kuwa kuna WATU WALIPOTEZA MALI NA UHAI WAO kutufanya hivi tulivyo....

Akina Dossa Azizi...
Akina Dr.Kyaruzi...
Akina Harith Mwapachu...
Akina Ally Sykes.....
Akina Abdulwahid Sykes....
Akina Mashado Plantan....
Akina John Rupia....
Akina NDESAMBURO...

THE LIST IS LONG....

Nini hao UWASEMAO?!!!
Hao ni shujaa wa nchi waliosimalia msimamo wao.
Chadema walisema hawaitambui hii serikali na hawatakubali kushilikiana nao. Leo wanaenda kimya kimya si bora wangekubali tu tokea mwanzo
 
Hupendi nchi yako, hupendi Maisha yako wala ya wajukuu wako. Full stop. Na usitake wengine wawe kama wewe selfish, megalopolia, mocchocropistolias!
Kwahyo wewe unawaona hawa ndo wanaopenda nchi yako eti? Watu wasiojua upande wao haswa ni upi? Watu kama sigara kali? Pole ndugu kama ndivyo ujidanganyavyo. Hamna mpigania nchi hapo na kama wewe unadhani kupelekwapelekwa kushoto na kulia kama mtumbwi mtoni ndo kupenda nchi, then you are just a qualified moron.

Kubwatuka kote huko, mwishowe haoo bungeni! Huku naye katibu anasema hawajapeleka majina ... hawa ndo wakuwaamini na maisha yako dumbhead?
 
Hao ni shujaa wa nchi waliosimalia msimamo wao.
Chadema walisema hawaitambui hii serikali na hawatakubali kushilikiana nao. Leo wanaenda kimya kimya si bora wangekubali tu tokea mwanzo
🤣🤣
Kwani Ni mara ya kwanza KUTOITAMBUA?!!

Dr.Slaa hakumtambua J Kikwete Leo hii yuko SCANDINAVIA anakula pweza wa FYORD kutoka SCENERY za STAVANGER ya Oslo Norway🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787]
Na Maalim Seif yuko mbioni KUSINDIKIZWA NA VING'ORA...
Alafu tuwaamini ndo wapigania nchi hawa? Wengine wameuawa na kujeruhiwa mno kisa wao then wanachoambulia ndo hiki ... watu wamaenda kulamba miguu
 
Yani mkuu never trust mtu mwenye anaitwa mtanzania.
Hata huo umasikini walionao they deserve
 
Back
Top Bottom