Alaa kumbee ni MTATA kihivyo si ndio eee?!!
Basi ANZISHA chama chako....mtakuwa na Lissu sijui na Nani Mwingine🤣🤣
Wanaweza kuwa sahii lakini wameingia choo cha kiume kwa utaratibu waliouchukua.,Najua watakuwa wamedanganyika kwa kuahidiwa kupewa vyeo kama wakifukuzwa Chadema so what!!aibu aibu na fedhea kwao...Watanzania na mashabiki wa CDM tusiwalaumu wakinahalima na kuwaita wasaliti. Kama waliitisha maandamano tukawagomea manayake tuliwasaliti sasa acha wafate katiba na tuwasapoti. Mambo ya kusema wamesaliti ni unafiki kabisa. Wacho tuonje chungu ya usaliti wetu ili tujifunze na sikunyingine tukiambiwa tuwasapoti kwa maandamano hatutasaliti tena.
Dada wa uhuru,haki na maendeleo ya watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanasiasa akikwambia nje kuna mvua inanyesha inabidi utoke kuangalia kama ni kweli.
Unataka kusema nini? Hawa walikupoteza maisha wakipigania nini?Walaa....
Wewe mwenyewe unachat hapa kwa UTULIVU kwa kuwa kuna WATU WALIPOTEZA MALI NA UHAI WAO kutufanya hivi tulivyo....
Akina Dossa Azizi...
Akina Dr.Kyaruzi...
Akina Harith Mwapachu...
Akina Ally Sykes.....
Akina Abdulwahid Sykes....
Akina Mashado Plantan....
Akina John Rupia....
Akina NDESAMBURO...
THE LIST IS LONG....
Kweli nimeamini usimwamini mwanasiasa yeyote🚶🚶🚶🤣🤣
Kwani Ni mara ya kwanza KUTOITAMBUA?!!
Dr.Slaa hakumtambua J Kikwete Leo hii yuko SCANDINAVIA anakula pweza wa FYORD kutoka SCENERY za STAVANGER ya Oslo Norway🤣🤣
Sawa MWAMBAAAA....Hata bila chama ninaweza kuendelea kuwa mpinzani bila pressure yoyote.
🤣🤣Dada wa uhuru,haki na maendeleo ya watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa pozi la huyo mzee wa mbele akuuliza "unaifahamu Tanzania? ", utapata picha gani?MATAGA mida hii!View attachment 1633813
Ndio maana shetani alimtumia mwanamke kumdanganya na kutumia jini kupitia mwanamkeMamaee Sasa Lissu sijui yuko wapi
Hawa ndio wanawake wa shoka[emoji23] Na mkiwafukuza wanahamia Chama Dola.
Mbowe ni kichwa, genius yule .ccm wanacheza mziki wake.apo ruzuku Kama kawa na Maisha yanasonga mbeleUnawezaje kususia Ubunge wa Viti maalum halafu Hundi za ruzuku kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu una sign kama kawaida?
Mbowe kacheza na akili za makamanda ham
Usimwamini Mwanasiasa MkuuMbona nimeona Mnyika anasema hajapeleka majina
Kama wangekumbuka Ile siku kule magereza tulivyo pambana na Askari ama Kama wangekumbuka tulivyo changa pesa kuwatoa gerezani wakati Madhinji alilipiwa na serikali wasingefanya hivi.Watanzania na mashabiki wa CDM tusiwalaumu wakinahalima na kuwaita wasaliti. Kama waliitisha maandamano tukawagomea manayake tuliwasaliti sasa acha wafate katiba na tuwasapoti. Mambo ya kusema wamesaliti ni unafiki kabisa. Wacho tuonje chungu ya usaliti wetu ili tujifunze na sikunyingine tukiambiwa tuwasapoti kwa maandamano hatutasaliti tena.