Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Alaa kumbee ni MTATA kihivyo si ndio eee?!!

Basi ANZISHA chama chako....mtakuwa na Lissu sijui na Nani Mwingine🤣🤣

Hata bila chama ninaweza kuendelea kuwa mpinzani bila pressure yoyote.
 
Watanzania na mashabiki wa CDM tusiwalaumu wakinahalima na kuwaita wasaliti. Kama waliitisha maandamano tukawagomea manayake tuliwasaliti sasa acha wafate katiba na tuwasapoti. Mambo ya kusema wamesaliti ni unafiki kabisa. Wacho tuonje chungu ya usaliti wetu ili tujifunze na sikunyingine tukiambiwa tuwasapoti kwa maandamano hatutasaliti tena.
Wanaweza kuwa sahii lakini wameingia choo cha kiume kwa utaratibu waliouchukua.,Najua watakuwa wamedanganyika kwa kuahidiwa kupewa vyeo kama wakifukuzwa Chadema so what!!aibu aibu na fedhea kwao...
 
Walaa....

Wewe mwenyewe unachat hapa kwa UTULIVU kwa kuwa kuna WATU WALIPOTEZA MALI NA UHAI WAO kutufanya hivi tulivyo....

Akina Dossa Azizi...
Akina Dr.Kyaruzi...
Akina Harith Mwapachu...
Akina Ally Sykes.....
Akina Abdulwahid Sykes....
Akina Mashado Plantan....
Akina John Rupia....
Akina NDESAMBURO...

THE LIST IS LONG....
Unataka kusema nini? Hawa walikupoteza maisha wakipigania nini?

Amandla...
 
🤣🤣
Kwani Ni mara ya kwanza KUTOITAMBUA?!!

Dr.Slaa hakumtambua J Kikwete Leo hii yuko SCANDINAVIA anakula pweza wa FYORD kutoka SCENERY za STAVANGER ya Oslo Norway🤣🤣
Kweli nimeamini usimwamini mwanasiasa yeyote🚶🚶🚶
 
Unawezaje kususia Ubunge wa Viti maalum halafu Hundi za ruzuku kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu una sign kama kawaida?

Mbowe kacheza na akili za makamanda hamnazo
 
Mamaee Sasa Lissu sijui yuko wapi

Hawa ndio wanawake wa shoka[emoji23] Na mkiwafukuza wanahamia Chama Dola.
Ndio maana shetani alimtumia mwanamke kumdanganya na kutumia jini kupitia mwanamke
 
Unawezaje kususia Ubunge wa Viti maalum halafu Hundi za ruzuku kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu una sign kama kawaida?

Mbowe kacheza na akili za makamanda ham
Mbowe ni kichwa, genius yule .ccm wanacheza mziki wake.apo ruzuku Kama kawa na Maisha yanasonga mbele
 
Nimeangalia mh. Spika wa Bunge Job Ndugai akiwaapisha wabunge wa upinzani leo, ki ukweli ameinesha upendo wa dhati kwa akina Halima Mdee, wote tunajua jinsi Mh spika alivyokuwa anawachukia akina Halima Mdee katika Bunge la kumi na moja.

Lakini leo ametakia kila la kheri wabunge hawa licha ya Mh Halima mdee kutoa maneno yenye ukakasi juu ya kura zilizopigwa. Nilitegeme spika kama nimjuavyo angetoa kauli ya angalau kumjibu Mh Halima mdee, kinyume chake amekuwa mpole na muungwana sana. Sasa najiuliza huu urafiki huu, umeanza lini?
 
Watanzania na mashabiki wa CDM tusiwalaumu wakinahalima na kuwaita wasaliti. Kama waliitisha maandamano tukawagomea manayake tuliwasaliti sasa acha wafate katiba na tuwasapoti. Mambo ya kusema wamesaliti ni unafiki kabisa. Wacho tuonje chungu ya usaliti wetu ili tujifunze na sikunyingine tukiambiwa tuwasapoti kwa maandamano hatutasaliti tena.
Kama wangekumbuka Ile siku kule magereza tulivyo pambana na Askari ama Kama wangekumbuka tulivyo changa pesa kuwatoa gerezani wakati Madhinji alilipiwa na serikali wasingefanya hivi.
 
Back
Top Bottom