Sele 0715132277 mpigie atakupa siri zote jinsi mbowe alivyofanya dili la kuwauza hao wabunge wa kike ndipo ujue sasa chadema inaenda kupoteza wanachama wengi mnoMpunga ladhina, chezea pesa wewe, na hapo lazima kila mwezi wakatwe mpunga wa kumchangia Mlevi wa Konyagi.
Good....HAWATAJUA.....Mhutu mtu wa ajabu sana , katumia nguvu kubwa Sana kuzuia wapinzani wasipate ubunge , leo huyohuyo katumia pesa , vitisho na masharti kwa baadhi ya viti maalum kuwatoa rumande ili waingie bungeni .Ningekuwa simjui Mhutu ningeshangaa kwa haya , ila kwa kuwa namfahamu sishangai mtu anayetenda kwanza halafu anafikiri baada ya kutenda , badala ya kufikiri kabla ya kutenda.
Wamefumba macho...hawataki waone Wala kusikia hayo...Hakuna maendeleo yameletwa na CCM miradi yote mikubwa imejaa ufisadi mkubwa kuna 10% ununuzi wa Ndege, SGR bwawa la umeme flyover na miradi yote mikubwa, Dr Slaa hakuondoka chadema kwa kupenda alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba canada hana mfano wa kuigwa hata mmoja ni mwizi kama wezi wengine huko CCM,
Kina Mwalimu Nyerere walijitahidi sana kuandaa vijana kukua katika maadili ya "UZALENDO WA TAIFA NA AFRIKA", na walifanikiwa kupandikiza uzalendo ndani ya damu zao.
Sishangai kwanini Mwalimu Nyerere alimchagua Hayati Mkapa visa Kikwete kugombea nafasi ya urais. Hakika, aliona mbali sana.
Ila tanzania ya sasa, inayo ongozwa na damu ambazo hazijazalishwa na kina Mw. Nyerere, inazalisha vijana wenye sumu katika damu zao za tamaa ya Madaraka/Vyeo/Pesa.
"KAMA TAIFA, SERIKALI INAZALISHA VIONGOZI WA KESHO (VIJANA) WASALITI NA SIO WAZALENDO".
Kamwe, serikali isije kulalamika kwamba taifa letu lina watu sio wazalendo wa nchi yetu. Kwasababu wao ndio "WAMEFUNDISHA WATU KUWA WASALITI" na kuwa "WENYE TAMAA YA MADARAKA/VYEO/PESA", sambamba na kuwaaminisha vijana wa kesho kwamba "SIASA NI BIASHARA", hasa kwa vijana wa kesho.
Na inazalisha raia wasiokua na "IMANI" kwa viongozi wao pamoja na wanasiasa wote.
Vijana wanaozalishwa na #teamMagufuli ndio watakaokuja kuliangamiza taifa uchaguzi ujao 2025 (pengine hata uchaguzi ujao tusifike).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama wewe
Dr Slaa ni mwizi na mpenda Rushwa aliondoka chadema kwa kununuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba canada hana laana ya kushika popote wala kumshika yeyote yule labda ajilaani mwenyeweChadema wana laana ya Dr.Slaa
Aliyeiua chadema 2020😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yeye
Kuna watu wawili atawapa ubunge wa kuteuliwa mbatia au kati ya msigwa au hata Lipumba ili kuwahadaa Dunia kuwa Tanzania ni Nchi ya ki demokrasiaNgoja tusubiri zile nafasi 10 za rais, unaweza kuta Tundu Lissu ndani ya nyumba.
Jamaa ana Gundu balaa , kakimaliza chama cha mawakili tanganyika sasa ameifuta chadema kwenye ramani za siasa.Aliyeiua chadema 2020😀😀
Bora chama kife kiundwe chama kipya kiongozi wake asiwe na njaa awe kama Odinga au malema wa kule South Africa tupate upinzani wa kweli usio na njaa ya ruzuku kama ya mbowe kuuza wabunge wa kikeMbowe asepe TU,atuachie CHAMA chetu......WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO WATAKAOTUVUSHA...
Sikia yuko kwa Prof Janabi akipatiwa ushauri nasaha. Moyo unadunda kama madhine ya kusha vyuma
Mkui Battor, Huenda imani yangu na yako ilikuwa sawa, kuondoka kwa Dr Slaa chadema niliumia sana. Edward lowassa sikuwahi kumkubali. Na hapa ndipo watu wengi tulijua agenda ya ufisadi imekufa rasmi. Chama ndipo kilipofia madhara yake ndio haya mpaka sasa madiwani na wabunge kujiuzulu na sasa utazuka mgogoro baina ya Mbowe na chama.Mkuu mm pia nilikuwa si mwana chama lakin nilikuwa naiamin sana cdm kama mkombozi atayetetea ba kuleta mabadiliko nchini lakin pindi walivyomteua lowassa kugombea urais 2015.
Wanaonifahamu kazin niliwaambia kwanzia leo mm nimsikilizaji tu na sina imani na hawa viongozi wa chama hata kidogo kwan hawana uzalendo bali ni wametanguliza maslahi yao binafsi kuliko ya wengi.
2020 ndio imedhihirisha wazi chama kinaenda kufa kwa tamaa na ubinafsi wa viongizi, hawakuwa makin tangu mchakato wa kumsimamisha mgombea urais.
Sasa taifa bila chama pinzani chenye mikakati na uzalendo madhubuti tunaelekea wapi?
Hilo wazo bora kabsaKianzishwe tu chama kipya Cha upinzani ambacho kitaacha madhaifu yote ya Chadema
Slaa ni mwizi tu kama wezi wengine hakuondoka chadema wa ridhaa yake alinunuliwa kwa dola milion 2 na kupewa nyumba canada, Dr Slaa hana mfano wa kuigwa hata mmoja ni mwizi wa kawaida kama wezi wengine tuMkui Battor, Huenda imani yangu na yako ilikuwa sawa, kuondoka kwa Dr Slaa chadema niliumia sana. Edward lowassa sikuwahi kumkubali. Na hapa ndipo watu wengi tulijua agenda ya ufisadi imekufa rasmi. Chama ndipo kilipofia madhara yake ndio haya mpaka sasa madiwani na wabunge kujiuzulu na sasa utazuka mgogoro baina ya Mbowe na chama.
Haiwezekani Mwenyekiti Mbowe asijue hii scenerio ya akina Halima.
Chama changu nilikipenda sana lakni mwenzi wa Saba nilijiunha rasmi ccm.
Ivi tofauti ya wabunge viti maaulumu na wa kawaida ni Nini mkuuKamanda cool down banaa....
Pambaneni iko SIKU mtakwenda ikulu banaa....🤣🤣
Ndiyo maana sasa idadi ya watanzania wasio na vyama wapagani wa vyama itaongezeka zaidi na zaidi kwani chadema imeharibiwa na njaa ya mbowe kwa ruzuku tuHuwa nawashangaa sana watu wanaokosa kazi kutwa kwenye mitandao ya kijamii wakiwapambania wanasiasa ... wanasiasa wenyewe ndo' hawa? Wakakupeleke uandamane ukavunjwe alafu wao hawa hapa washaingia bungeni ... wanasiasa wenyewe hawa ndimi mbilimbili wasiojua upande wao ni upi.
Sina huo muda.
Wabunge wa viti maalum ni ufijaji wa pesa za walipa kodi hawafai kuwepo Bungeni ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiIvi tofauti ya wabunge viti maaulumu na wa kawaida ni Nini mkuu
Ah ni yeye[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Aliyeiua chadema 2020[emoji3][emoji3]