Unajua watu wengi hasa wafuasi wa CHADEMA hawamfahamu Mbowe vizuriMkui Battor, Huenda imani yangu na yako ilikuwa sawa, kuondoka kwa Dr Slaa chadema niliumia sana...
Pole sana mkuu najua hapo utakuwa unakumbuka walivyo kuimbisha piipoozz na wewe ukanyoosha mkono juu pawa.Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno.
Hakuna kitu kigumu kama kuukubali ukweli, bila kujifunza kukubali ukweli huwezi kujirekebisha! Acha kujiliwaza mkuu!Mbuzi jike kaingia gharama kubwa kuwanunua wabunge viti maalum ili kumhadaa Beberu ajue Tanzania kuna demokrasia
Hapo, hapooo, hapo mkono wa kulia mwa speaker, hapo kwenye suti nyeupe mm nakosheka sana.Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma...
Endelea kukaririLisu kaachwa uchi na viongozi wenzie wa chama. Siku mbili hizi alikataa kuwa chama hakiutambui uchaguzi uliyofanyika mwezio uliyopita, leo wabunge wa viti maalum kupitia Chadema wameapishwa. Na hii inathibitisha kwamba uchaguzi ulikuwa huru na chama kimekubaliana na matokeo ya uchaguzi huo. Pole mropokaji Lisu na swiba wako Amsterdam ambae ndio mshaur mkuu wako kwa sasa
Huelewi the paradox and the contradictions therein!Ulichoandika umekielewa mwenyewe.
Unamjua Halima, au unamsikia tu?Anaamdamana kwenda wapi? Anandamana kwa sababu zipi?
Au unamshawishi sababu unajua kashatiwa mfukoni
Halima kacheza hat trick, ni political bounce back like no other!Halima sasa tayari amekuwa mbunge na kaapishwa leo....
Nimekuelewa.tatizo hapa ni msimamo ,chadema hawana msimamo thabiti,na hili jambo halijaisha bado.tusubiri mkutano wa viongozi wa juu wa chama haadar saa 5 asubuhi.Siku moja nilitumwa kwenda mahali fulani na wakuu wangu wa kazi (ilikuwa kazi ya utume). Njia ya kwenda huko ilikuwa ya ama kwenda kwa miguu, baiskeli au pikipiki. Sehemu kubwa ya nilikoenda wanyama kutoka hifadhi walikuwa wakipita na hata nilipofika siku hiyo niliambiwa 'tembo wamevamia baadhi ya mashamba ya wanakijiji usiku wa kuamkia leo'...
Nadhani anazungumzia mashabiki, sio viti maalum.Acha wivu waache wenzio washiriki kujenga nchi yao bhana
Tundu msakiti mkubwa kasaliti wenzie usimsifie kaitisha maandamano halafu yeye huyo mbio katimkia ubelgijiDaah siasa bwana huyu halima kweli kafanya haya? Bora tundu lisu asirudi tu
mshahara kwa mwezi milioni 12 posho ya vikao laki nne wakistaafu malipo milioni 200 pana kufa njaa mtu hapo?Halima Mdee na genge lako mfe Kwa njaa
Mbunge ni mwakilishi wa mwananchi baada ya kuchaguliwa kwa kura na hao wananchi, sasa hao wanamwakilisha nani?Wafia chama mna maoni gani sasa?
Ila nmefurahi, at least hata kama tulishinda ila kina Gwajima watapata sauti kinzani sasa
Huyu kakimbia kesi zake mahakamani kwani alijua fika akaenda tu mahakamani wadhamini wanajitoa.Tundu msakiti mkubwa kasaliti wenzie usimsifie kaitisha maandamano halafu yeye huyo mbio katimkia ubelgiji
Kabla ya Ubelegiji, alizama ubalozi wa Ujerumani! Shujaa yoyote duniani yupo tayari kufa.Tundu msakiti mkubwa kasaliti wenzie usimsifie kaitisha maandamano halafu yeye huyo mbio katimkia ubelgiji