Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Mkui Battor, Huenda imani yangu na yako ilikuwa sawa, kuondoka kwa Dr Slaa chadema niliumia sana...
Unajua watu wengi hasa wafuasi wa CHADEMA hawamfahamu Mbowe vizuri

Mbowe miaka yote yupo KWA AJILI YA MASLAHI TU.

Hata katika kampeni za juzi alipokea mkwanja mrefu kutoka Ubelgiji

Mwaka 2015 baada ya kumpendekeza Lowasa ilihali wengine hawakumtaka, alikorofishana na kina Mnyika kidogo Mnyika ajiondoe Chadema. Na Mbowe alipiga pesa za Lowassa na hakuingiza zote katika kampeni

Pia, Mbowe alishawachangisha 1M kwa mwezi kila Mbunge wa chadema aliyeshinda ubunge mwaka 2015 akisema ni kurudisha shukran ya ushindi, wakati walishinda kwa upepo wa Lowassa mwaka ule.

Hili la viti maalum alijua KABISA
 
Upinzani wangu utabakia moyoni mwangu tu naendelea kuikataa CCM lakini kama mbowe atakaa kimya bila kutoa tamko lolote lile juu ya ujinga aliofanya rasmi nitaihama chadema kwa kasi kubwa mno.
Pole sana mkuu najua hapo utakuwa unakumbuka walivyo kuimbisha piipoozz na wewe ukanyoosha mkono juu pawa.

MAGUFULI4LIFE.
 
Hekima ya ulimwengu iko katika maneno mawili.

Subirini mtaona!
 
Mbuzi jike kaingia gharama kubwa kuwanunua wabunge viti maalum ili kumhadaa Beberu ajue Tanzania kuna demokrasia
Hakuna kitu kigumu kama kuukubali ukweli, bila kujifunza kukubali ukweli huwezi kujirekebisha! Acha kujiliwaza mkuu!
 
Huko mbeleni tutaanza kuona wanasiasa wakifa vifo vya ajabu ajabu, ndipo watatia akili.

Ukizingua humohumo ndani ya ukumbi wa bunge unang'atwa na kundi la nyuki hawajulikani walikotokea hadi unakufa
 
Lisu kaachwa uchi na viongozi wenzie wa chama. Siku mbili hizi alikataa kuwa chama hakiutambui uchaguzi uliyofanyika mwezio uliyopita, leo wabunge wa viti maalum kupitia Chadema wameapishwa. Na hii inathibitisha kwamba uchaguzi ulikuwa huru na chama kimekubaliana na matokeo ya uchaguzi huo. Pole mropokaji Lisu na swiba wako Amsterdam ambae ndio mshaur mkuu wako kwa sasa
Endelea kukariri
 
hivi mnajuwa hawa wabunge mnaowaona wakiendesha V 8 msifikili wanakitu. mishahara yao inaishia kununuwa mafuta ya kuviendesha.

Mimi nafikiri kuna haja ya kubadili sheria za kugombea ubunge. ubunge hutakiwi kuwa kama ajira. mbunge anatakiwa kufanya ubunge kama Hobbs na sio ajira. kwa Tanzania wabunge wengi au wanasiasa kwa ujumla wao wanafanya siasa kama ajira.

Ubaya wa kufanya siasa kama njia ya kutafutia ajira ni kwamba unakuwa na viongozi wasio kuwa na values na principles. na ukiwa na viongozi wasio kuwa na values maana yake unakuwa na nchi kama Tanzania ambapo sheria ni mfuko wako. yaani nchi inaogozwa na wanasiasa malaya wao kazi yao ni kusaka pesa bila kujari utu wao.

Mfano kina Mdee wameona kukaa bila ubunge maisha hayawezi kwenda sasa angaria aibu wanayoipata. Na kosa kubwa chadema ililo fanya ni kuchukuwa watoto wa vyuo na kuwapa nafasi za uogozi matokeo yake wakaona hizo nafasi ni ajira yao ya kudumu. sasa wengi wataanza kukimbia.

 
Siku moja nilitumwa kwenda mahali fulani na wakuu wangu wa kazi (ilikuwa kazi ya utume). Njia ya kwenda huko ilikuwa ya ama kwenda kwa miguu, baiskeli au pikipiki. Sehemu kubwa ya nilikoenda wanyama kutoka hifadhi walikuwa wakipita na hata nilipofika siku hiyo niliambiwa 'tembo wamevamia baadhi ya mashamba ya wanakijiji usiku wa kuamkia leo'...
Nimekuelewa.tatizo hapa ni msimamo ,chadema hawana msimamo thabiti,na hili jambo halijaisha bado.tusubiri mkutano wa viongozi wa juu wa chama haadar saa 5 asubuhi.

Utagundua ni maslahi tu ya kuchumia tumbo,sio wapinzani thabiti.
 
Wafia chama mna maoni gani sasa?

Ila nmefurahi, at least hata kama tulishinda ila kina Gwajima watapata sauti kinzani sasa
Mbunge ni mwakilishi wa mwananchi baada ya kuchaguliwa kwa kura na hao wananchi, sasa hao wanamwakilisha nani?
 
Tundu msakiti mkubwa kasaliti wenzie usimsifie kaitisha maandamano halafu yeye huyo mbio katimkia ubelgiji
Huyu kakimbia kesi zake mahakamani kwani alijua fika akaenda tu mahakamani wadhamini wanajitoa.

Kasingizia anatishwa ili akimbie kwa usaidizi wa mabwana zake.

Huyu ndio imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom