Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.

Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Ni yeye


Ila sijapenda sijui wameongea nini.

Nilipenda wakaze tuone mwisho wake!
 
Hivyo viti hatuvitaki labda mpeane wewe, Johnthebabtist , Kawe Alumni ,Yehodaya na wenzio mvae sketi mzibe pengo la wabunge wa viti maalum CHADEMA.
 
Hata ujifanye kamanda namna gani linapokuja suala la njaa utavua gwanda tu.
Njaa ndio kipimo halisi cha ukamanda.
 
Wewe unazungumzia mambo ya maridhiano wakati katibu wa chama mwenyewe huelewi kinachoendelea
 
Unajifariji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…