stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Ila mimi nmefurahi.
Si walikua wanajikuta wana msimamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mimi nmefurahi.
Yule kashalegea mbonaBado Maalim Seif.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Chadema jinga lakooo[emoji3][emoji3]si walikua wanajikuta wana msimamo
amkeni amkeni amkeniDu, hii ni kweli? Tutaficha wapi aibu hii? Tunaungana na wanyang'anyi kweli?
🙈🙈🙈
Maendeleo hayana vyamaa kabisaaSubiri picha ya pamoja mdee na gwaji boy wanatabasamu
Chadema jinga lakooo[emoji3][emoji3]
Misimamo bongo hapa mbele ya njaa.si walikua wanajikuta wana msimamo
Wewe unazungumzia mambo ya maridhiano wakati katibu wa chama mwenyewe huelewi kinachoendeleaHatimaye serikali ya maridhiano kupatikana na ndiyo maana bwana mkubwa mpaka leo hajateuwa mawaziri.
Ni hatua nzuri kwa Mama Tanzania kupata serikali ya Muungano wa Tanzania ikiwa na mawaziri kutoka CHADEMA pamoja na wabunge ndani ya Bunge la Muungano kupitia maridhiano baada ya uchafuzi wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 2020.
Ni kiashirio kuwa hakutakuwa tena na uchafuzi wa chaguzi wala kusigina tena katiba siku zijazo.
Ila mbinyo toka Jumuiya ya Kimataifa, Vyama vya Upinzani, Wadau watetezi wa Haki za Binadamu na Demokrasia utaendelea kuwepo pamoja na serikali ya maridhiano kuundwa ili kuhakikisha serikali ya CCM Mpya inatekeleza maridhiano hayo kwa Vitendo kuanzia 2020 kuelekea 2025 kama Mwenyekiti wa BAWACHA mh. Halima Mdee alivyotuhakikishia leo bila kupepesa macho.
Nasubiria uongozi wa CHADEMA uthibitishe.Karibu CCM mkuu.
Wakina Erythrocyte YEHODAYA Mmawia wanaharisha mfululizo sasahivi.apa ni kugonga cheers tu imebaki, na heshima irudi
HahahhahaMaendeleo hayana vyamaa kabisaa
Pimbi mleta mada naona umekuja kupima upepo ? Hivyo viti hatuvitaki labda mpeane wewe , Johnthebabtist , Kawe Alumni ,Yehodaya na wenzio mvae sketi mzibe pengo la wabunge wa viti maalum Chadema .
Du, hii ni kweli? Tutaficha wapi aibu hii? Tunaungana na wanyang'anyi kweli?
🙈🙈🙈
Unajifariji?Hatimaye serikali ya maridhiano kupatikana na ndiyo maana bwana mkubwa mpaka leo hajateuwa mawaziri.
Ni hatua nzuri kwa Mama Tanzania kupata serikali ya Muungano wa Tanzania ikiwa na mawaziri kutoka CHADEMA pamoja na wabunge ndani ya Bunge la Muungano kupitia maridhiano baada ya uchafuzi wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 2020.
Ni kiashirio kuwa hakutakuwa tena na uchafuzi wa chaguzi wala kusigina tena katiba siku zijazo.
Ila mbinyo toka Jumuiya ya Kimataifa, Vyama vya Upinzani, Wadau watetezi wa Haki za Binadamu na Demokrasia utaendelea kuwepo pamoja na serikali ya maridhiano kuundwa ili kuhakikisha serikali ya CCM Mpya inatekeleza maridhiano hayo kwa Vitendo kuanzia 2020 kuelekea 2025 kama Mwenyekiti wa BAWACHA mh. Halima Mdee alivyotuhakikishia leo bila kupepesa macho.
Uchafuzi wa uchaguzi Mkuu 28 October 2020 umefungua mlango wa timu kubwa zaidi ya watetezi na wadau toka nje kuingia na kuibana serikali ya Tanzania chini ya CCM Mpya iliyotaka kuua kabisa demokrasia , uhuru na haki ya waTanzania kushiriki ktk vyombo vya maamuzi kama Bunge na nafasi za uwaziri ktk serikali ya maridhiano.