Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Kuna mtu hana njaa?Njaa inatutesa sana watanzania
Kama Shabiby na Abood wana njaa wewe nani usiwe na njaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu hana njaa?Njaa inatutesa sana watanzania
Hata karedio kamchina hanaga?!!!🤣🤣ona hili lingine uku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kigogo alisema wanafanya kwa siri bila ridhaa ya chama?
Haya kina tindo mko wapi sasa?
Hata karedio kamchina hanaga?!!!🤣🤣
Usimshau mzee wa icc ndugu lord deningSexless,salary slip, kuna huyu mwingine jina lake gumu erycr....... dah hivi hawamo hawa
Sema msimamo wako sasa utabaki chadema au unahama huko?Hakuna siasa Tanzania......
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Sexless,salary slip, kuna huyu mwingine jina lake gumu erycr....... dah hivi hawamo hawa
KwendaaaKama ni kweli mimi nitajiunga ccm kabisa!
Kina jingalao johnthebaptist Jane Lowassa Bia yetu mama D na wengineo naombeni mnipokee
ACT ni CHADEMA aliyezubaaLeo naenda kuchoma kadi yangu ya Chadema na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Ni afadhali nife kuliko kuwa kada wa CCM, naichukia CCM na wanaCCM kwa moyo wangu wote!Kul
Kule nako maalim sefu anajiunga na mwinyi sijui utaenda wapi?
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA