babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hivi wale waliokuwa wanahamasishwa kwenye mitandao ya kijamii eti wafanye fujo na kuandamana wana hali gani huko walipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila hawa wabunge Chadema haina ruzuku na Mnyika hana mshahara!Jamani mm namuinea huruma Lema tu
Kuwa mkimbizi halafu wenzake huku wamemgeuka
Aje tu aombe radhi
Watu walishipaza shingo humu,wakati wa kampeni usingeweza kuikosoa CHADEMA bila kuitwa Mataga.Hiyo yote ni kwakua waliamini Viongozi wa Chadema wapo kwaajili ya kutetea maisha yao😂.Haya sasa Mataga ni akina nani Kati ya wafuasi wa CCM na wale wa CHADEMA?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tuombwe radhi tulioitwa majina ya ajabu ajabu kisa hawa wapinzani halafu leo wanasema viti sio hisani bali sehemu ya ushindi so wanakubali magu alishinda nyingi na lissu sehemu ya ushindi
Hapa kuna mkwanja utakuwa umetoka sio bureDaaaah, katibu mkuu aite press aeleze nini kimejiri!
Hii kitu mbona imekuwa ghafla hivi? Kuna nini kinaendelea?
Nimefurahi kuona Nusrat Hanje amekula shavu,huyu dada ameipigania sana Chadema!
Tuko pamojaLeo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Endelea kulialia tu wenzako wameshamaliza na kuapa na leo wameshasaini makaratasi ya kupata pesa za mkopo wa magari sijui Tzs 90 Million.Mnajitekenya na kucheka wenyewe
Lengo kuu lakuforce wabunge wa upinzani ni kupata 2T kutoka kwa mabeberu Sasa Kama mnawabunge wa upinzani ambao hawana baraka za chama.
Je mtazipata izo 2T?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
NikweliHakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Leo naenda kuchoma kadi yangu ya CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo!
Hahahaaaa... .....!Kigogo ameshinda kwa 100%
Kigogo alisema, imekuwa
Hawa wanamama walikana katakata, lakini ukweli umedhili. Walidanganya.
Hili swali ni kwa wanaJf walioshuhudia mtwangano wa maneno kati ya Halima Mdee na Kigogo mmoja kule twitani.
Nauliza tu nani kaibuka mshindi?
Maendeleo hayana vyama!