Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Mnajitekenya na kucheka wenyewe

Lengo kuu lakuforce wabunge wa upinzani ni kupata 2T kutoka kwa mabeberu Sasa Kama mnawabunge wa upinzani ambao hawana baraka za chama.

Je mtazipata izo 2T?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwako komredi kaka yangu Ali Bananga Mwatiga......

Kaka yangu nakumbuka nilipokuwa CHUO KIKUU na ulipoamua KUTUHAMA CCM tuliumia Sana....

Wadogo zako wapambanaji ambao nyinyi MLIOKUWA CCM STAMINAZ....yes CCM STAMINAZ pamoja na kaka James Ole Millya.....

Ulikuwa DIWANI WA SOMBETINI....
Ukamuacha "mzee wetu"laigwanan Edward Ngoyai Lowassa CCM na UKATIMKIA CHADEMA....

Baadaye LOWASSA akakufuata CHADEMA(leo tuko naye lumumba).

Ole Millya AMERUDI nyumbani....

Sasa Kaka yangu....nikuambie ya kwamba LEO nimemshuhudia shemeji yetu mh.Hawa MWAIFUNGA mbele ya SPIKA anayemtii AMIRI JESHI mh.Magufuli....Vipi mkeo mh.Mwaifunga BADO HAYATAMBUI MATOKEO YA URAIS WA CCM?!!!

Vipi nawe?najua ULIZUNGUKA SANA kumpigia kampeni Komredi Tundu Lissu....
Bado tu HUJATAMBUA Urais wa mh.Magufuli?!!!!

SIASA si UADUI kama INAVYOTAKA KUFANYWA Kaka yangu.....
Haya muache mh.Mwaifunga ajizolee milioni 12 kila mwezi...
Hakika ANASTAHILI KUZIPATA...😂😂😂😂😂


MAENDELEO HAYANA VYAMA.
 
Ajira zenyewe za kulenga kwa manati, viti maalum ni chance za bure kabisa tena za pesa mingi then wanaachaje kwenda vyuma vimewakazia hao kina mama na kina dada, wakaona wavipake grisi cha msingi pesa, waende wakasaini na kuchukua huo mpunga mapema, automatically pesa ni tam,hivi kwani ni nani asiependa pesa? siku hizi watu wanatazama maslahi yao.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tuombwe radhi tulioitwa majina ya ajabu ajabu kisa hawa wapinzani halafu leo wanasema viti sio hisani bali sehemu ya ushindi so wanakubali magu alishinda nyingi na lissu sehemu ya ushindi
Watu walishipaza shingo humu,wakati wa kampeni usingeweza kuikosoa CHADEMA bila kuitwa Mataga.Hiyo yote ni kwakua waliamini Viongozi wa Chadema wapo kwaajili ya kutetea maisha yao😂.Haya sasa Mataga ni akina nani Kati ya wafuasi wa CCM na wale wa CHADEMA?
 
And the pain still around the red and white flag[emoji38][emoji38]
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe

Lengo kuu lakuforce wabunge wa upinzani ni kupata 2T kutoka kwa mabeberu Sasa Kama mnawabunge wa upinzani ambao hawana baraka za chama.

Je mtazipata izo 2T?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Endelea kulialia tu wenzako wameshamaliza na kuapa na leo wameshasaini makaratasi ya kupata pesa za mkopo wa magari sijui Tzs 90 Million.
 
Back
Top Bottom