Tanzania inshu ya PPP bado haieleweki vizuri,
Hawa maDED wengi wanataka kufanya kila kitu ili waweze kujipatia chochote,
Ukipewa mradi mtu binafsi wao wanaamini hawawezi kupata pesa tena,
Utakuta Mkurugenzi kila kazi anataka kufanya yeye tu
PPP ni changamoto, hiyo ppp iko kwenye makaratasi haiko kihalisia unapokutana na watu wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi, (kuahirisha kufikiri kizalendo). Yaani wenye akili nyingi, (smart people), na ambao hawako tayari kuachia matonge, utasubiri sana
In reality though in entrepreneurship we learn how to do business not about business. Successful entrepreneurs know how to find customers and to keep them for life
kwenye elimu ya ujasiriamali tunajifunza jinsi ya kufanya biashara na siyo kuhusu biashara wafanyabishara waliofanikiwa wanajua jinsi ya kuwapata wateja na kuhakikisha wasiondoke asilani.
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara inamtegemea mjasiriamali na asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka.
Hii asilimia 20 mimi kama mjasiriamali mbobezi, naitambua kwamba ina nguvu hata kuua biashara endapo jamii haitachukua hatua za makusudi za kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zijazo, (uncertainty).
Asilimia 20 kitaalamu ina vigingi vikuu vinne. 1. Maamuzi ya kisiasa ambayo yanaweza kusababisha biashara zikue ama zife, (political decisions). 2.jinsi serikali iliyoko madarakani ilivyo jipanga kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja, (national economy and social development strategies of an existing government). 3.Aina ya watu kwenye jamii na elimu zao, ( social demographic variables) 4.mabadilko ya teknolojia, (change of technology), mfano hai kuhusu teknolojia, kuna wengine hawezi kufanya muamala kwenye simu anampa wakala namba yake ya siri
Social development strategies is similarly to, the tools required to improve people's lives