Siku hizi pesa ndiyo kila kitu, iwe imepatikana kwa rushwa, wizi ama ulozi.Watu mliofeli shule kwa kukosa akili huwa mnahasira sana na wasomi.
Lakini haina maana tuwadharau wasomi,Siku hizi pesa ndiyo kila kitu, iwe imepatikana kwa rushwa, wizi ama ulozi.
Wasomi nchi hii hawajawahi kufanya la maana, ndiyo maana wanachambwa mpk bungeni na akina Msukuma, Kishimba na Kibajaji.
Siku hizi pesa ndiyo kila kitu, iwe imepatikana kwa rushwa, wizi ama ulozi.
Wasomi nchi hii hawajawahi kufanya la maana, ndiyo maana wanachambwa mpk bungeni na akina Msukuma, Kishimba na Kibajaji.
Wasomi hawana msaada kwenye jamii, mitaani hawatoi hata ajira. Wafanyabiashara ndiyo watu wanaogusa maisha ya wengi nchi hii.Lakini haina maana tuwadharau wasomi,
Wasomi wengi wao ni middle classes
Nafurahishwa sana na juhudi za Serikali ya Mama Samia Suluhu, Mnyonge mnyongeni ila Samia Yuko katika uelekeo sahihi sanaKama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3097549
😂😂 Huu ni ubinafsiWajinga wamefanya nini?
Kwani wamesoma kwaajili yenu au yao?
Wajinga wanaona kama wanahatimiliki ya usomi wa watu wengine wakati wao walikataa shule. Kila mtu ashinde match zake.
😂😂 Huu ni ubinafsi
Simpendi Kafulila ila napenda anachokifanya,Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3099327
Hii sio lugha nzuri,Nani mbinafsi zaidi, mjinga aliyekataa shule na kulalamikia wasomi as if anawadai au msomi aliyesoma kwaajili yake na familia yake na hana muda na wajinga?
Uko sahihi kwa kiwango kikubwaTanzania inshu ya PPP bado haieleweki vizuri,
Hawa maDED wengi wanataka kufanya kila kitu ili waweze kujipatia chochote,
Ukipewa mradi mtu binafsi wao wanaamini hawawezi kupata pesa tena,
Utakuta Mkurugenzi kila kazi anataka kufanya yeye tu
Nafurahishwa na juhudi za Serikali ya awamu ya sitaTanzania inshu ya PPP bado haieleweki vizuri,
Hawa maDED wengi wanataka kufanya kila kitu ili waweze kujipatia chochote,
Ukipewa mradi mtu binafsi wao wanaamini hawawezi kupata pesa tena,
Utakuta Mkurugenzi kila kazi anataka kufanya yeye tu
TIC kwani wao wako wapi?Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3099327
Navutiwa na Kafulila kwenye hili kwa PPP idara zingine ziko wapi?Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3099327
Kafulila kama kweli nia yake ni njema basi Taifa limepata mtu sahihi sanaKama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3099327
Tatizo hao ni watu wa 10%Tanzania inshu ya PPP bado haieleweki vizuri,
Hawa maDED wengi wanataka kufanya kila kitu ili waweze kujipatia chochote,
Ukipewa mradi mtu binafsi wao wanaamini hawawezi kupata pesa tena,
Utakuta Mkurugenzi kila kazi anataka kufanya yeye tu
🙄🤭Hao wachumia nguli wameonesha wapi unguli wao? Ni wapuuzi fulani tu wenye. Vikaratasi vinavyoonesha wamehudhuria shuleni. Wachumia tumbo tu.
Kazi ni nzuri hiiKama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3099327
Akikujibu nishtueBAVICHA, Mnatabu sana,
Sasa hapo chawa ni Kafulila au hao Wachumi?
Hii PPP iunge mkono inataleta ukombozi wa kweli wa Uchumi wa Watanzania
Good move TanzaniaKama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
View attachment 3097548
View attachment 3099327
Mkuu kumbe na wewe uko njema sanaSerikali inaweza kuchangia au isichangie kabisa kutegemea mradi husika.
Sheria inaruhusu kitu inaitwa viability Gap funding ( VGF) ambapo serikali inaruhusiwa kuchangia kiasi cha mtaji kufanya kampun binafsi itekeleze hasa kama mradi ni muhimu kiuchumi lkn haulipi kibiashara / hauna commercial viability .
Lkn kama mradi ni viable economically & commercially then serikali haina sababu ya kuchangia mraji asilimia yoyote labda tu kama serikali inataka pengine kutoa ruzuku ili kupunguza bei/ userfee.
Kwa upande wa dhamana/govt guarantee ni kwajili ya kuikinga kampuni binafsi dhidi ya baadhi ya viahatarishi na wakati mwingine hutolewa kama Comfort letter.
Kwa mfano mwekezaji analeta mabasi lkn mkusanyaji ni mamlaka ya serikali kama DART, Mwekezaji anaweza kuomba dhamana ya serikali ili endapo DART atashindwa kumlipa basi hazina imlipe/ payment guarantee.
Haya yote yako kwenye Sheria ya PPP
Nadhani nimekusaidia