Adiosamigo atakuja kukujibu maana alisema Saudia na UAE walishindwa eti kuwa Houthi huwa hashindwi.. hahahahahahaJana wakati nawasoma Waarabu wenzetu wa humu kuwahusu Houthi nikawa najichekea tu moyoni mwangu, hadi sister FaizaFixy nae eti akasifia Houth's eti wana uwezo, nilijichekea tu moyoni. Iran kaufyata kwa Israel, Misri ndio humwambii kabisa kuwahusu hao wana wa Ibrahim halafu eti nchi masikini kama Yemen inaweza kweli kua na jeuri ya kumtisha Israel? Vichekesho vingine bwana. Anyway, tuishi tu
Hao wa Yemen majuzi tu wamesema ikifika May 17 2025 ni mwisho wa Marekani kupitisha Crude oil.. kulegea kwao ni baada ya Marekani kushindwa kumzuia Israel asiwashambulie.. na Israel kafanya makusudi kuachia kombora litue nje ya uwanja wa Ndege apate sababu kwa Trump kuruhusu kipigo... Israel hana Shida ya kuzuia maana kisasi chake ni cha kupitiliza.. this time alisema mapigo ni Saba mawili tayari Houthi pichu zimejaa ny'nyaWanaukumbi.
⚡️⭕️ Hapa, Trump alitangaza kwamba Marekani itaacha kulipua Yemen na kwamba Wayemeni "wataacha kulipua meli".
Haijulikani ni meli za nani anazozungumzia, kwa sababu Yemen inaendeleza mashambulizi ya Israeli na kuzingirwa kwa majini huko Eilat.
Ikiwa Trump anasema kwamba Wayemeni wataacha kulishambulia Jeshi la Wanamaji la Marekani na meli na badala yake Marekani itaacha kulipua Yemen, basi hiyo itamaanisha kwamba anatangaza kuacha kuiunga mkono Israel katika Bahari Nyekundu na kushindwa kwa misheni yake.
Yemen ilianza kulipua meli za Marekani baada tu ya Wamarekani kuanza kushambulia Yemen, na tangu siku ya 1, Wayemen walisema kwamba Navy ya Marekani na meli (sio zinazoelekea israel) zitaacha kupigwa mabomu ikiwa Marekani itaacha vita dhidi ya Yemen.
Kwa vile Trump hajui kuongea itabidi tusubiri kuona Wayemeni au wanasiasa wengine wa Marekani watasema nini.
================
⚡️⭕️ Here, Trump announced that the USA will stop bombing Yemen and that Yemenis "will stop bombing ships".
It's not clear who's ships he's talking about, because Yemen is continuing the bombing of Israel and the naval siege on Eilat.
If Trump is saying that Yemenis will stop boming the US Navy and ships and in exchange the USA stops bombing Yemen, then that would mean that he's announcing the retreat from his support to Israel in the Red Sea and the failure of his mission.
Yemen started bombing US ships only after Americans started boming Yemen, and since day 1, Yemenis said that US Navy & ships(not heading to israel) will stop getting bombed if the USA stops it's war on Yemen.
Since Trump doesn't know how to talk we'll have to wait to see what the Yemenis or other US politicians will say.
View: https://x.com/me_observer_/status/1919797363708674127?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwahio msemaji wa Al Houth saivi ni trump? Hahahah tulieni mlimuona saudia fala na US kutuliza shundu baada ya miaka 10 ya battle Leo hii muyemen anapiga km2000+ mlitegemea?Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.
Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.
Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?
Usitutoe kwenye mada wahouth wasalimu amri baada ya kipondo cha Jeshi la Israel na sasa wameahidi hawatashambulia tena Meli huko red-seaKwahio msemaji wa Al Houth saivi ni trump? Hahahah tulieni mlimuona saudia fala na US kutuliza shundu baada ya miaka 10 ya battle Leo hii muyemen anapiga km2000+ mlitegemea?
Leta kauli ya Al Houth kuahidi hapaUsitutoe kwenye mada wahouth wasalimu amri baada ya kipondo cha Jeshi la Israel na sasa wameahidi hawatashambulia tena Meli huko red-sea
Dini dini dini dini. Sema Allah anawaangusha sana washikajiJana wakati nawasoma Waarabu wenzetu wa humu kuwahusu Houthi nikawa najichekea tu moyoni mwangu, hadi sister FaizaFixy nae eti akasifia Houth's eti wana uwezo, nilijichekea tu moyoni. Iran kaufyata kwa Israel, Misri ndio humwambii kabisa kuwahusu hao wana wa Ibrahim halafu eti nchi masikini kama Yemen inaweza kweli kua na jeuri ya kumtisha Israel? Vichekesho vingine bwana. Anyway, tuishi tu
Hata leo kuna comment kasema Houthi watashinda....nilishangaa sana huku ndugu yake katika imani Kosugi anasema hawana mfumo wa anti air craftAdiosamigo atakuja kukujibu maana alisema Saudia na UAE walishindwa eti kuwa Houthi huwa hashindwi.. hahahahahaha
Kauli ya Desemba 23, 2024. Katika ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii X.In response to Trump’s statements, Yemen’s Ansar Allah Political Council member Mohammad Ali Al-Houthi states that support for Gaza continues and Netanyahu should prepare his resignation.
Kama nakuona hapo ulipo unampa sifa nyingi Jehova huku ukimlaumu sana Allah kwa kuwaangusha washkaji. Dini dini dini diniii..Dini dini dini dini. Sema Allah anawaangusha sana washikaji
Msamehe!!!Kwahio msemaji wa Al Houth saivi ni trump? Hahahah
Hezbollah wana experience kubwa sana na IDF, mwaka 2006 waliwasumbua sana, leo Hezbollah wamerudisha mpira kwa kipa, Houth hawana experience yeyote, wanacho kifanya ndio hiki walikua wanakifanya Wasomali katikati mwa miaka ya 2000, walikua wakiteka meli bahari ya Hindi, eti watu wenye uzoefu huo kweli ndio wanaweza kupambana na mijitu inayoweza kuchezea satellites za nchi yeyote? Halafu Houth hawa wanaotoka nchi masikini kama Yemen? Ukweli sometimes waliokua wakiisifia Yemen na Houth inatakiwa wajidharau sana kwa kua na uwezo mdogo mno wa kupambanua mambo. Allah kashindwa kuwapa ushindi Iran, Palestinians, nk; Wayemen/Houth wamemfanyia kitu gani kipya Allah hata wao awasikie na kuwasaidia kuliko wengine?Adiosamigo atakuja kukujibu maana alisema Saudia na UAE walishindwa eti kuwa Houthi huwa hashindwi.. hahahahahaha
Siijui x Mimi sina account hukoKauli ya Desemba 23, 2024. Katika ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii X.