Hatimaye Wahouthi wasalimu amri waahidi kutoshambulia tena Meli Red-sea!!

Mr. Truman alivyo kua anakimbia moto

USS Truman’s Yemen Exit:

Apr 25: 870 km
Apr 28: 970 km
May 3: 1,150 km
May 6: 11,000 km – gone home.

A very good source, don't you agree JD?
Wahouth cha moto wamekipata hawatasahau milele!!
 
Attachments

  • IMG_0683.mp4
    1.8 MB
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.

Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.

Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?

Uwongo

Uwongo babu,houthi wamekanusha, trump kachoka ugomvi na houthi
 
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.

Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.

Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?

View: https://x.com/bbcswahili/status/1919814461180743912?t=MU8GzQkpVDHjxZ-AJt-X3w&s=19
 
Wacha uwongo Al Houth wamekubali kuziwachia meli za USA bada ya US kuwapa ahadi ya pesa.

Alicho fanya USA ni karudisha mchezo ule ule wazuie meli kwenda israel. Sa wapi Al Houth kasurrender aliye surrender ni USA.

Wapi Al Houth wamesema hawata shambulia meli za Israel?

Israel mwenyewe kashangaa kuona USA kamuwacha kwenye shimo.

View: https://youtu.be/vrDWI4QvtP8?si=Wpuypy_wBcW6uRyh

Kwanza US ni kila herehere chake kumsaidia shoga yake toka mwanzo Al Houth alikua hapigi meli za US ila wakaunda kale kakikundi mshenzi kakafia njian saivi ameona amemtose mwanae maana muyemen hana Cha kupoteza.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-05-06-21-13-55-699.jpg
    Screenshot_2025-05-06-21-13-55-699.jpg
    256.8 KB · Views: 19
Ni baada ya mazungumzo
Njia pekee ya kumaliza vita kwa dunia ya leo ni kupitia mazungumzo
1000113157.jpg
 
Hata hapo Lebanon kwa Hezbolah mlituambia Israel atainua mikono
Sawa kwani Hezbullah aliwashinda au ni USA ndio alifanya deal na serekali ya Lebanon ili Hezbullah wasimamishe vita. Israel ndiye aliye kubali ceasefire mbona Gaza aliendeleza vita.

Kwa Tarifa yako Israel hawezi vita na Al Houth wakati utaongea.
 
1. Kulifuta taifa la Israel
2. Kuzuia meli za Ulaya, Israel na Marekani kwenda popote via red sea
3. Kuzuia meli zote zinazo ingia na kutoka Israel
4. La mwisho walitaka kulifunga anga la Israel

Vyote sasa vimefeli, wamepiga simu kwa Trump kuomba poo.
Halafu, kitu kimoja tukielewe brothers, hivi ni kweli hatujui nani aligundua silaha za nuclear kwa mara ya kwanza hapa duniani? Si ni hawa hawa Wayahudi? Halafu leo tena muwatambie na silaha hizo wakati wao ndio waanzilishi? Interesting, very interesting 🤔
😂😂😂🙏🙏
 
Sawa kwani Hezbullah aliwashinda au ni USA ndio alifanya deal na serekali ya Lebanon ili Hezbullah wasimamishe vita. Israel ndiye aliye kubali ceasefire mbona Gaza aliendeleza vita.

Kwa Tarifa yako Israel hawezi vita na Al Houth wakati utaongea.
Naomba unifahamishe ni aina gani ya deal alofanya USA na hao Hezbullah? Maana nyie huwaga hamkawii kuhamisha magoli kwa maneno ya kufikirika na kuunga unga, pindi wale Jamaa zenu ktk imani wanapo shindwa kwenye mpambano
 
Wacha uwongo Al Houth wamekubali kuziwachia meli za USA bada ya US kuwapa ahadi ya pesa.

Alicho fanya USA ni karudisha mchezo ule ule wazuie meli kwenda israel. Sa wapi Al Houth kasurrender aliye surrender ni USA.

Wapi Al Houth wamesema hawata shambulia meli za Israel?

Israel mwenyewe kashangaa kuona USA kamuwacha kwenye shimo.

View: https://youtu.be/vrDWI4QvtP8?si=Wpuypy_wBcW6uRyh

Kana aliv
Sawa kwani Hezbullah aliwashinda au ni USA ndio alifanya deal na serekali ya Lebanon ili Hezbullah wasimamishe vita. Israel ndiye aliye kubali ceasefire mbona Gaza aliendeleza vita.

Kwa Tarifa yako Israel hawezi vita na Al Houth wakati utaongea.
Mara ngapi Israel inapiga hapo Beirut na Hezbollah haijajibu kitu?
 
Back
Top Bottom