Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,945
Israel iendeleee kuwaangamiza hao mahayawani .
Mrasia is next maana kitu anafanyiwa ndani ya Ukraine uwiiiBaada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.
Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.
Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?
Shida ni kwamba mnakuja na taarifa kutoka masjid ubwabwa. Ni magaidi wa Houthi ndio waliosalimu amri baada ya kuona hawana namna yoyote ya kuzuia mashambulizi ya mabomu yanayo vurumishwa na Marekani.Hujaelewa . Aliyetangaza kusalimu amri ni marekani. Wahouth Bado wanaendelea na operation ya kupiga marekani na Israel . View attachment 3326363
Na hii ni ujanja wa kuinua mikono juu bila aibuTatizo hamjui kama hamjui ,kwa taarifa zilizovuja ,Marekani ameiomba serikali ya Oman izungumze na Yemen kuhusiana na kuacha kuzipiga meli za marekani zinazokatika lango la bahari ,fahamu sehemu hii inaupna wa 25km tu,hivyo palikuwa hapakatizi kitu , Halafu Yemeni haikuanza kupigwa makombora jana au juzi ,wameshayazoea .
Mjumbe akapeleka ujumbe Yemen na ulipokelewa kwa masharti kuwa waYemen wataacha kupiga meli ila lile la Wayahudi lipo palepale ,ujumbe Mjumbe akarudisha kuwa ombi limekubaliwa. Kumbuka ni ombi na aliepeleka ombi ndio hawahawa NASA ambao wameleta darubini na ufahamu wa NASA na juahidi kuchukuwa WaTanzania kuwapatia elimu hio ya anga za juu ,sijui kama na hili mnalijua ,mnalolijua ni la bandari tu.
Hivyo basi mkakati wa Yemeni dhidi ya nchi ya ISRAEL upo palepale na myemeni amesema kubwa lijalo kwa ufupi Netanyau amewachwa kwenye mataa.
Kama mlimsikiliza Amerikan Pope kuna masuali aliyakwepa kwa ufundi kamwambia waziri peleka ujumbe sasa hivi kuwa hakuna tena kuishambulia Yemen.
NA nyinyi hivi kwa nini kila siku kinachopigwa ni hakohako kairport na kabandari na vitangi vitupu vya mafuta ,lini mlisikia vifaa vya kijeshi vya Yemen vimeteketezwa nasi tutumie milima ya usambara kuficha vifaa vyetu.
Muirani kazika chini ,Myemeni yeye ndio kabsaa kazika kwenye milima iliyoyajaa misitu na majabali.
Aafu waYemen wengine mpaka mkuu wa jeshi kavimba shavu .
View attachment 3326560
Bado huwa mnaota na mambo ya NATO amna kitu kama hicho nato ni marekan kama amna usa sahau kuhusu natoNinachojua, kuna kitu kinakuja muda sio mrefu.
Ile milipuko ya Iran, na bomoabomoa ya Yemen. Kuna jambo linafuata hapo sio siku nyingi na mtawaona USA, UK na wengine NATO wakit mwaka ia timu.
Sidhani ikiwa huu mwaka 2025 utaisha utawala wa AYATOLAH utakuwepo, kama utakuwepo basi utakuwa ukingoni.
Kuna watu huwa wanaona aongea Trump ni uchizi. But the giy is so clever. Hapo Houth wanapigwa changa la macho kama ilivyo kwa Iran na mazungumzo ya nyuklia lakini ukweli ni kwamba hata kama akiachana na nyuklia bado wataendelea kuvutana.
Habari Yako ya uongo . Marekani ndio kasalimu amri na sasa anamtosa mwanae Israel redsea anaondoa meli zakeShida ni kwamba mnakuja na taarifa kutoka masjid ubwabwa. Ni magaidi wa Houthi ndio waliosalimu amri baada ya kuona hawana namna yoyote ya kuzuia mashambulizi ya mabomu yanayo vurumishwa na Marekani.
![]()
Trump says US to stop attacking Houthis in Yemen as group has 'capitulated'
[Trump says US to stop attacking Houthis in Yemen as group has 'capitulated'] is good,have a look at it!uc.xyz
Kama huelewi kilicho andikwa hapo tafuta tu mtu akutafsiriye.Habari Yako ya uongo . Marekani ndio kasalimu amri na sasa anamtosa mwanae Israel redsea anaondoa meli zake
Hii ni Fake newsKama huelewi kilicho andikwa hapo tafuta tu mtu akutafsiriye.