Hatimaye Wahouthi wasalimu amri waahidi kutoshambulia tena Meli Red-sea!!

Hatimaye Wahouthi wasalimu amri waahidi kutoshambulia tena Meli Red-sea!!

Hezbollah wana experience kubwa sana na IDF, mwaka 2006 waliwasumbua sana, leo Hezbollah wamerudisha mpira kwa kipa, Houth hawana experience yeyote, wanacho kifanya ndio hiki walikua wanakifanya Wasomali katikati mwa miaka ya 2000, walikua wakiteka meli bahari ya Hindi, eti watu wenye uzoefu huo kweli ndio wanaweza kupambana na mijitu inayoweza kuchezea satellites za nchi yeyote? Halafu Houth hawa wanaotoka nchi masikini kama Yemen? Ukweli sometimes waliokua wakiisifia Yemen na Houth inatakiwa wajidharau sana kwa kua na uwezo mdogo mno wa kupambanua mambo. Allah kashindwa kuwapa ushindi Iran, Palestinians, nk; Wayemen/Houth wamemfanyia kitu gani kipya Allah hata wao awasikie na kuwasaidia kuliko wengine?
Kwenye hii mbungi inayoendelea unajua malengo ya Al Houth? Kama unayajua Fanya analysis
 
In response to Trump’s statements, Yemen’s Ansar Allah Political Council member Mohammad Ali Al-Houthi states that support for Gaza continues and Netanyahu should prepare his resignation.
December 23, 2024
 
Kwenye hii mbungi inayoendelea unajua malengo ya Al Houth? Kama unayajua Fanya analysis
Bro, chutamana tu kama walivyo fanya kina Webabu Mwana mfalme Ritz bila kumsahau sister FaizaFixy mbungi imebuma hiyo kaka. Yemen ni taifa masikini, fukara, haliwezi kuuza chochote popote duniani, leo linaweza kupambana na mtu anae tishiana na Iran? 🤣
 
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.

Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.

Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?

Trump huyu huyu aliyesema china anapiga simu kuomba deal china wakakataa kuwa si kweli?
Nitaamini nikisikia kutoka kwa yile sijui ndo msemaji wa houth anaongea kama anaimba ila si trump
 
Kwahio msemaji wa Al Houth saivi ni trump? Hahahah tulieni mlimuona saudia fala na US kutuliza shundu baada ya miaka 10 ya battle Leo hii muyemen anapiga km2000+ mlitegemea?
Hivi mnakuwaga serious au haya mambo mmeshafanya kama Simba na Yanga tu? HIVI KWELI HOUTHI WALE WANAWEZA KUPAMBANA NA ISRAEL NA MAREKANI!!!!!???? Hemu weka kando mambo ya Allahu Akbar tafakari haya mambo ukiwa na " FREE MIND"
 
Bro, chutamana tu kama walivyo fanya kina Webabu Mwana mfalme Ritz bila kumsahau sister FaizaFixy mbungi imebuma hiyo kaka. Yemen ni taifa masikini, fukara, haliwezi kuuza chochote popote duniani, leo inaweza kupambana na mtu anae tishiana na Iran? 🤣
Fukara wa hela tu, nimekuuliza swali nijibu malengo ya Yemen ni yapi
 
Fukara wa hela tu, nimekuuliza swali nijibu malengo ya Yemen ni yapi
1. Kulifuta taifa la Israel
2. Kuzuia meli za Ulaya, Israel na Marekani kwenda popote via red sea
3. Kuzuia meli zote zinazo ingia na kutoka Israel
4. La mwisho walitaka kulifunga anga la Israel

Vyote sasa vimefeli, wamepiga simu kwa Trump kuomba poo.
Halafu, kitu kimoja tukielewe brothers, hivi ni kweli hatujui nani aligundua silaha za nuclear kwa mara ya kwanza hapa duniani? Si ni hawa hawa Wayahudi? Halafu leo tena muwatambie na silaha hizo wakati wao ndio waanzilishi? Interesting, very interesting 🤔
 
Hivi mnakuwaga serious au haya mambo mmeshafanya kama Simba na Yanga tu? HIVI KWELI HOUTHI WALE WANAWEZA KUPAMBANA NA ISRAEL NA MAREKANI!!!!!???? Hemu weka kando mambo ya Allahu Akbar tafakari hiaaya mambo ukiwa na " FREE MIND"
Na mimi nasema Kwa free mind wamezuia meli za biashara hazipiti, wamezuia Sasa usafiri wa anga kwenda Israel huyo US unayemsema kapambana nao miaka 10+ akitaka kuweka utawala wake
 
1. Kulifuta taifa la Israel
2. Kuzuia meli za Ulaya, Israel na Marekani kwenda popote via red sea
3. Kuzuia meli zote zinazo ingia na kutoka Israel
4. La mwisho walitaka kulifunga anga la Israel

Vyote sasa vimefeli, wamepiga simu kwa Trump kuomba poo.
Halafu, kitu kimoja tukielewe brothers, hivi ni kweli hatujui nani aligundua silaha za nuclear kwa mara ya kwanza hapa duniani? Si ni hawa hawa Wayahudi? Halafu leo tena muwatambie na silaha hizo wakati wao ndio waanzilishi? Interesting, very interesting 🤔
1. Si lengo la Al haothi
2.Hakuna meli ya Israel, British wala US inakatiza red sea
3. Bandari ya Eliot ilishafungwa tangu mwaka Jana nawafanyakazi huenda walisha maliza na pensheni zao
4. Tangazo la kufungwa anga limetoka Jana na baadhi ya mashirika yameanza kutii amri
 
Kwahio msemaji wa Al Houth saivi ni trump? Hahahah tulieni mlimuona saudia fala na US kutuliza shundu baada ya miaka 10 ya battle Leo hii muyemen anapiga km2000+ mlitegemea?
Kaka, hebu Ona aibu kidogo basi. Yemeni anatoa wapi hayo makombora kama sio kuyanunua au kupewa? Hao wanao tengeneza hayo makombora si ndio wanachunguzana na Israel and USA everyday? Taifa fukara kama Yemen lina jeuri ya kumpiga mkwara Israel, Israel huyu huyu ambaye Iran aliufyata kwake? Kaka, are you serious?
 
Kaka, hebu Ona aibu kidogo basi. Yemeni anatoa wapi hayo makombora kama sio kuyanunua au kupewa? Hao wanao tengeneza hayo makombora si ndio wanachunguzana na Israel and USA everyday? Taifa fukara kama Yemen lina jeuri ya kumpiga mkwara Israel, Israel huyu huyu ambaye Iran aliufyata kwake? Kaka, are serious?
Jua kuwa Yemeni Sasa hivi hanunui ni kupiga TU simu Tehran na kiduku kuuliza Ulisema Tel Aviv niwekee point ngapi vile?
 
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.

Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.

Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?

Kama Webabu au Faizafoxy au The Big Show hajathibitisha taarifa hii sitaiamini! Ahahahahaha!!
 
Wacha uwongo Al Houth wamekubali kuziwachia meli za USA bada ya US kuwapa ahadi ya pesa.

Alicho fanya USA ni karudisha mchezo ule ule wazuie meli kwenda israel. Sa wapi Al Houth kasurrender aliye surrender ni USA.

Wapi Al Houth wamesema hawata shambulia meli za Israel?

Israel mwenyewe kashangaa kuona USA kamuwacha kwenye shimo.


View: https://youtu.be/vrDWI4QvtP8?si=Wpuypy_wBcW6uRyh
 
Back
Top Bottom