Wahouth cha moto wamekipata hawatasahau milele!!Mr. Truman alivyo kua anakimbia moto
USS Truman’s Yemen Exit:
Apr 25: 870 km
Apr 28: 970 km
May 3: 1,150 km
May 6: 11,000 km – gone home.
A very good source, don't you agree JD?
UwongoBaada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.
Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.
Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?
Uwongo babu,houthi wamekanusha, trump kachoka ugomvi na houthiBaada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.
Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.
Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?
Nikutarifu tuu US bomber zimepiga al Houth zaidi mara 1000+++Wahouth cha moto wamekipata hawatasahau milele!!
Baada ya kipigo cha jana na leo magaidi wa Houth wamesalimu amri na kuahidi hawana shambulio tena Meli huko Red-sea hayo yamesemwa na Rais Donald Trump baada ya Magaidi hao kumjulisha hayo.
Kwa taarifa hiyo ya Wahouth kusalimu Amri sasa hivi majeshi ya Marekani na Israel hayatashambulia tena maeneo ya Wahouthi.
Wako wapi waliokuwa wanawaramba miguu magaidi hao?
Kwanza US ni kila herehere chake kumsaidia shoga yake toka mwanzo Al Houth alikua hapigi meli za US ila wakaunda kale kakikundi mshenzi kakafia njian saivi ameona amemtose mwanae maana muyemen hana Cha kupoteza.Wacha uwongo Al Houth wamekubali kuziwachia meli za USA bada ya US kuwapa ahadi ya pesa.
Alicho fanya USA ni karudisha mchezo ule ule wazuie meli kwenda israel. Sa wapi Al Houth kasurrender aliye surrender ni USA.
Wapi Al Houth wamesema hawata shambulia meli za Israel?
Israel mwenyewe kashangaa kuona USA kamuwacha kwenye shimo.
View: https://youtu.be/vrDWI4QvtP8?si=Wpuypy_wBcW6uRyh
Houthi wamekanushaIlitakiwa yule Gen Sarre wa Houth ndio aseme sio Trump hizi ni kama ngano za kiyahudi
Kuna Saa Hawa Israel ni Overrated sana kama Wamisri waliwanyoosha mpaka Mungu akawaonea hurumaHouthi wamekanusha
Hata hapo Lebanon kwa Hezbolah mlituambia Israel atainua mikonoTrump ni muongo Oman ndio kawapatanisha ukweli USA ndio kabembeleza Oman iwasemeshe Al Houth hapa lazima kakubali kuwapa pesa
View: https://youtu.be/Zys9nsrDJ54?si=-fSZbRighFn5opca
Tuliwambia USA atainua mikono juu. Tumeisha mmaliza USA kabaki mtoto omba omba
Sawa kwani Hezbullah aliwashinda au ni USA ndio alifanya deal na serekali ya Lebanon ili Hezbullah wasimamishe vita. Israel ndiye aliye kubali ceasefire mbona Gaza aliendeleza vita.Hata hapo Lebanon kwa Hezbolah mlituambia Israel atainua mikono
😂😂😂🙏🙏1. Kulifuta taifa la Israel
2. Kuzuia meli za Ulaya, Israel na Marekani kwenda popote via red sea
3. Kuzuia meli zote zinazo ingia na kutoka Israel
4. La mwisho walitaka kulifunga anga la Israel
Vyote sasa vimefeli, wamepiga simu kwa Trump kuomba poo.
Halafu, kitu kimoja tukielewe brothers, hivi ni kweli hatujui nani aligundua silaha za nuclear kwa mara ya kwanza hapa duniani? Si ni hawa hawa Wayahudi? Halafu leo tena muwatambie na silaha hizo wakati wao ndio waanzilishi? Interesting, very interesting 🤔
Naomba unifahamishe ni aina gani ya deal alofanya USA na hao Hezbullah? Maana nyie huwaga hamkawii kuhamisha magoli kwa maneno ya kufikirika na kuunga unga, pindi wale Jamaa zenu ktk imani wanapo shindwa kwenye mpambanoSawa kwani Hezbullah aliwashinda au ni USA ndio alifanya deal na serekali ya Lebanon ili Hezbullah wasimamishe vita. Israel ndiye aliye kubali ceasefire mbona Gaza aliendeleza vita.
Kwa Tarifa yako Israel hawezi vita na Al Houth wakati utaongea.
Kana alivWacha uwongo Al Houth wamekubali kuziwachia meli za USA bada ya US kuwapa ahadi ya pesa.
Alicho fanya USA ni karudisha mchezo ule ule wazuie meli kwenda israel. Sa wapi Al Houth kasurrender aliye surrender ni USA.
Wapi Al Houth wamesema hawata shambulia meli za Israel?
Israel mwenyewe kashangaa kuona USA kamuwacha kwenye shimo.
View: https://youtu.be/vrDWI4QvtP8?si=Wpuypy_wBcW6uRyh
Mara ngapi Israel inapiga hapo Beirut na Hezbollah haijajibu kitu?Sawa kwani Hezbullah aliwashinda au ni USA ndio alifanya deal na serekali ya Lebanon ili Hezbullah wasimamishe vita. Israel ndiye aliye kubali ceasefire mbona Gaza aliendeleza vita.
Kwa Tarifa yako Israel hawezi vita na Al Houth wakati utaongea.
Hapa JF wewe sasa ulishapageuza kuwa kijiwe cha kusemea uongo wako!!Trump ni muongo Oman ndio kawapatanisha ukweli USA ndio kabembeleza Oman iwasemeshe Al Houth hapa lazima kakubali kuwapa pesa
View: https://youtu.be/Zys9nsrDJ54?si=-fSZbRighFn5opca
Tuliwambia USA atainua mikono juu. Tumeisha mmaliza USA kabaki mtoto omba omba
Uyo jamaaa chenga sanaLeta kauli ya Al Houth kuahidi hapa
Wanajua zilipo wao wanajua tu matank ya mafuta Air Port bandari Mabekari ya mikate. Viwanda vya Saruji.Kwanini wasishambulie hizo base za wa houth