Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

Matapeli hao , kataa huyo jamaa ndio alisema kupata pesa kwa majini.

Hayo atayafanya kweny maonesho kama hivyo , ila msikitini kama anatafuta balaa ajaribu kupeleka msikitini.
Usiongope.
Dr. Sule alisema
"Sio Haramu kuwatumia majini wema waislamu katika kujiongezea kipato"

Kwani Majini wema Wana shida gani ?
Alimaanisha usitake kujiongezea kipato kwa Majini wabaya wasio Waislamu.

Kwani ndungu yako wa Kijini akikupa msaada Kuna shida gani ?

Mishkat al-Masabih 350
Ibn Mas'ud reported.
God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”
Tirmidhi transmitted it, as also Nasa'i, but he did not mention “the provision of your brethren among the jinn.”
''''''''''''''''''
Kama mtume wako alipokea sadaka kwa waumini wake wa Kijini, we u nani ubishe.
 
Nimeona mtandaoni Sheikh mmoja maarufu kwa jina la Dr. Sule akiwatoa watu mapepo (majini) kwa style ya kina Mwamposa. Je! Inaruhusiwa?
 

Attachments

  • -118225407.mp4
    29.8 MB
Nimeona mtandaoni Sheikh mmoja maarufu kwa jina la Dr. Sule akiwatoa watu mapepo (majini) kwa style ya kina Mwamposa. Je! Inaruhusiwa?
Huyu ni mkrustu tu, kwa kutumia imani ya kiislamu, kama unabisha mwambie aende mskiti wowote kama atakatwa shingo.
 
Huyu ni mkrustu tu, kwa kutimia imani ya kiislamu, kama unabisha mwambie aende mskiti wiwote kama atakatwa shingo.
Mbona nyie wavaa makobaz mnaishi kiubabe ubabe kwanini umkate mtu shingo
Hii dini ni ya hovyo Sana ebu jaribuni kueweka mitaala ya mafundisho ya upendo wa Mungu kwa wanadamu na mwanadamu kumpenda mwanadamu mwingine
We unamchinja mwanadamu mwenzio ilihali weww unatenda dhambi kwa Siri Siri wengine ni wachaw wa Siri acheni hizo bwana...
 
Ilikuwa ni suala la muda tu kabla kiba FaizaFoxy nao kujipatia kipato kwe njia hiyo.
 
Back
Top Bottom