Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna mambo ya kukatana shingo TanzaniaHuyu ni mkrustu tu, kwa kutimia imani ya kiislamu, kama unabisha mwambie aende mskiti wiwote kama atakatwa shingo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mambo ya kukatana shingo TanzaniaHuyu ni mkrustu tu, kwa kutimia imani ya kiislamu, kama unabisha mwambie aende mskiti wiwote kama atakatwa shingo.
Kapeleke nguruwe mskitini ndo uje useme tena hilo hapaHakuna mambo ya kukatana shingo Tanzania
Unashangaa Nini wakati anamgeza kigezo chenu Chema muham mad aka allah??!umeandika nini?
Kwani nguruwe Haram Kwa Waislamu??🎤Kapeleke nguruwe mskitini ndo uje useme tena hilo hapa
😂😂😂😂Haha.. hapo ukitia beat ya dancehall, unatengeneza hit kabisa. Maana huyo Sheikh anarap kama Shaggy vile.
Huo unakuwa uchokozi😂😂Kapeleke nguruwe mskitini ndo uje useme tena hilo hapa
Ndo kashaanza atafika tu humo msikitiniMatapeli hao , kataa huyo jamaa ndio alisema kupata pesa kwa majini.
Hayo atayafanya kweny maonesho kama hivyo , ila msikitini kama anatafuta balaa ajaribu kupeleka msikitini.
Njaa iko kila mahali, shekhe kaona kuvaa dela bila hela ni uchizi, kajiongeza
Sijui kwanini hata Kwa mwamposa ni wanawake tuWanawake Ndio wanakuwaga na majini... Sijawahi ona mwanaume ana majini
Mdogo mdogo tu wataelewa tuJinsia "Ke" inafahamu mnoo Kutumiwa kama Fursa,,,Kwa manabii wao Kwa wingi,,Kwa Masheikh vivyo hivyo.
Kweli kabisa. Mimi nilipoona Hadi masanja kapata wafuasi nakubaliana naweweMkuu Biashara zinahitaji Ubunifu wa hali ya Juu. Sometimes ukifuata Sheria sana utakufa Masikini.
Wajinga ni Mtaji Mkubwa sana DUNIANI, Ukiweza kuwatumia Wajinga basi UMASIKINI utakaa mbali sana na wewe.
Hii inanikumbusha harakati za wakatoliki na wakarismatiki nao walivurugana hadi baadae wakakubaliwa ila kwa mbinde sana, nao wanafanya maombi kama walokole na mara nyingi hawafanyii kanisaniMatapeli hao , kataa huyo jamaa ndio alisema kupata pesa kwa majini.
Hayo atayafanya kweny maonesho kama hivyo , ila msikitini kama anatafuta balaa ajaribu kupeleka msikitini.
Kwahiyo yo wanazingatia maokoto kwanza sio?Hii inanikumbusha harakati za wakatoliki na wakarismatiki nao walivurugana hadi baadae wakakubaliwa ila kwa mbinde sana, nao wanafanya maombi kama walokole na mara nyingi hawafanyii kanisani
Masela mbona siwaoni hapo?Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni
Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi.
Nimemaliza
View attachment 3060268
Hiki ni kisomo. Sema huyo mwamba anasoma haraka haraka. Kama una mapepo lazima yaruke ruke. Noma sana hiyo.Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni
Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi.
Nimemaliza
View attachment 3060268
Bila pesa mambo hayaendi 🤣Njaa iko kila mahali, shekhe kaona kuvaa dela bila hela ni uchizi, kajiongeza
Hawawezi kufundisha upendo. Hiyo dini ineanzishwa na mpigana vita.Mbona nyie wavaa makobaz mnaishi kiubabe ubabe kwanini umkate mtu shingo
Hii dini ni ya hovyo Sana ebu jaribuni kueweka mitaala ya mafundisho ya upendo wa Mungu kwa wanadamu na mwanadamu kumpenda mwanadamu mwingine
We unamchinja mwanadamu mwenzio ilihali weww unatenda dhambi kwa Siri Siri wengine ni wachaw wa Siri acheni hizo bwana...
Halafu kweliHaha.. hapo ukitia beat ya dancehall, unatengeneza hit kabisa. Maana huyo Sheikh anarap kama Shaggy vile.
Mbona wanaofurukuta kama kambale ni wanawake tu?? Kama ni uhuni, BULLDOZER aje aongezee maarifa hapaBaada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni
Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi.
Nimemaliza
View attachment 3060268