Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

Huyu ni mkrustu tu, kwa kutimia imani ya kiislamu, kama unabisha mwambie aende mskiti wiwote kama atakatwa shingo.
Hakuna mambo ya kukatana shingo Tanzania
 
umeandika nini?
Unashangaa Nini wakati anamgeza kigezo chenu Chema muham mad aka allah??!
👇👇
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتَ النَّبِيِّ إِلَّا أَن يُؤْذَنَ لَكُمْ إِلَىٰ طَعَامٍ غَيْرَ نَاظِرِينَ إِنَاهُ وَلَـٰكِنْ إِذَا دُعِيتُمْ فَادْخُلُوا فَإِذَا طَعِمْتُمْ فَانتَشِرُوا وَلَا مُسْتَأْنِسِينَ لِحَدِيثٍ ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ يُؤْذِي النَّبِيَّ فَيَسْتَحْيِي مِنكُمْ ۖ وَاللَّهُ لَا يَسْتَحْيِي مِنَ الْحَقِّ ۚ وَإِذَا سَأَلْتُمُوهُنَّ مَتَاعًا فَاسْأَلُوهُنَّ مِن وَرَاءِ حِجَابٍ ۚ ذَٰلِكُمْ أَطْهَرُ لِقُلُوبِكُمْ وَقُلُوبِهِنَّ ۚ وَمَا كَانَ لَكُمْ أَن تُؤْذُوا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا أَن تَنكِحُوا أَزْوَاجَهُ مِن بَعْدِهِ أَبَدًا ۚ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ عِندَ اللَّهِ عَظِيمًا

[ AL-AH'ZAB - 53 ]
Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Matapeli hao , kataa huyo jamaa ndio alisema kupata pesa kwa majini.

Hayo atayafanya kweny maonesho kama hivyo , ila msikitini kama anatafuta balaa ajaribu kupeleka msikitini.
Hii inanikumbusha harakati za wakatoliki na wakarismatiki nao walivurugana hadi baadae wakakubaliwa ila kwa mbinde sana, nao wanafanya maombi kama walokole na mara nyingi hawafanyii kanisani
 
Kwah
Hii inanikumbusha harakati za wakatoliki na wakarismatiki nao walivurugana hadi baadae wakakubaliwa ila kwa mbinde sana, nao wanafanya maombi kama walokole na mara nyingi hawafanyii kanisani
Kwahiyo yo wanazingatia maokoto kwanza sio?
 
Hawawezi kufundisha upendo. Hiyo dini ineanzishwa na mpigana vita.

Kitabu chao kimejaa maneno ya kuchochea chuki dhidi ya wasioungana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…