Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Tatizo lako unaeleweshwa halafu unajifanya hutaki kuelewa kwani kanuni ikitenguliwa huwa kwa manufaa au maslahi ya mtu binafsi? Kwa nini unauliza maswali yenye majibu.Ilitenguliwa kwa maslahi ya nani? kama ilitenguliwa (kukiukwa) ndo bunge liendelee kuvunja kanuni hadi mwisho ilihali zimetimika wiki tatu kuzitunga hizo kanuni? Rationality ya kutungwa ni nini sasa?
Jaribu kuwa rational kidogo basi.
Kwani bunge lisipozinduliwa ina maana vikao havitaendelea?
Hao "Viongozi wa kiroho" wana roho nyingine, wana mapepo, yakemewe. Wakati kanuni hizo zinatungwa, "Viongozi wa kiroho", hao, hawakuwepo????? Hao "Viongozi wa kiroho", ni mapandikizi ya CCM!!! Hakuna cha "Viongozi wa kiroho" hapa, wala cha nini, KANUNI LAZIMA ZIZINGATIWE!!!! Katiba inaanza kwa kusema,"Sisi wananchi tumeamua rasmi". Katiba ya sisi wananchi, haiwezi kupatikana kwa ubabe wa Sita, asiyekubali kushindwa !!!!!! UKAWA, hakuna kuweka silaha chini, wananchi tuko nyuma yenu!
Tatizo ukweli hutaki kuusikia inabidi wakuache ubaki kama ulivyo lakini leo warioba anawasilisha rasimu ya pili na rais atafuata.Toka umepewa ukuu wa Wilaya kwa fadhila,ukapata na hela ya mahali ya kuolea,unajiona umemaliza sana maisha....acha dharau,stress za maisha unazijua wewe???
Umeongea vyema mkuu tufanye yote lakini mwisho wa siku katiba ipatikane.tupitie njia yoyote cha msingi katiba ya wananchi iuundwe.
.. .. eti kama wasaa utamruhusu! Au ndiyo kusema amebanwa na uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze?
Mkuu, kwa mtazamo wangu ni kwamba hakuanza vibaya. Ila kuna hali ya kutoaminiana baina ya CCM na vyama vya upinzani. Pia kuna fear of unknown.
Wewe siyo mzima mkuu.Nafikiri JK safari hii anaenda kushiriki kutafuta Ndege ya Malaysia iliyopotea
Nani alitengua?Usiniambie ujinga wa kuwauliza nani anakubali na nani anakataa.Halafu spika ana ibuka waliosema itenguliwe wameshinda!umeshaambiwa kanuni ilitenguliwa asubuhi na wakakubaliana,au unasemea kanuni ipi tena?
Ilitenguliwa kwa maslahi ya nani? kama ilitenguliwa (kukiukwa) ndo bunge liendelee kuvunja kanuni hadi mwisho ilihali zimetimika wiki tatu kuzitunga hizo kanuni? Rationality ya kutungwa ni nini sasa?
Jaribu kuwa rational kidogo basi.
Stress ni ugonjwa mbaya sana,wachangiaji wengine hapa duh.
Tatizo ukweli hutaki kuusikia inabidi wakuache ubaki kama ulivyo lakini leo warioba anawasilisha rasimu ya pili na rais atafuata.
ila KUNATOA NAFASI YA KUVUNJIKA MUUNGANO JAMBO AMBALO WAZANZIBAR WENGI NDIYO WANALITAKA, NADHANI HAPO SASA UMEELEWA LENGO LA WANANCHI - YAANI KUUVUNJILIA MBALI MUUNGANO WA KISANII.kuwepo serikali moja,mbili ama tatu hakutoi uhakika wa chama fulani kutawala,think.
Mtu unatunga kanuni halafu ndiyo unakuwa wa kwanza kuzivunja ndiyo maana miji yetu ni michafu kila mahali,watawala ccm ndiyo wanaongoza kuvunja sheria.UKAWA leo pia fanyeni kama jana vinginevyo waseme Warioba ndiye analiZindua Bunge halafu Kikwete ni mtoa mada ya blah blahBaada ya jana jioni bunge la katiba kuingia katika hali ya sintofahamu iliyochangiwa pia na wabunge wa chadema,cuf na nccr- mageuzi leo asubuhi bunge litaendelea na shughuri zake kama inavyoonesha hapa chini.
1. Kuanzia saa tatu asubuhi mwenyekiti wa bunge maalumu mh samweli sitta ataweza kuwaapisha wabunge waliosalia kuapa ambao idadi yao yapata kama thelathini hivi.
2. Baada ya wabunge hao kumaliza kuapa jaji warioba ataweza kuwasilisha rasimu ya pili ya katiba ambapo imepangwa kuanza saa tatu na nusu au na dakika arobaini na tano mpaka saa saba kamili mchana.
3. Baada ya warioba kumaliza kuwasilisha rasimu mwenyekiti atalieleza bunge nini kitafuata baada ya zoezi hilo kukamilika.
Hivyo ndivyo utaratibu utakavyokuwa kwa leo karibu sana tuendelee kufuatilia katiba yetu inavyotungwa.