Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.

Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.

Hivi ni nini kimetokea?
Tangu lini umekuwa msemaji wa watanzania?
 
Uongo , Nani aliachana na kuangalia local channels, akawa anaangalia tamthilia,

Ikiwa umefanya hivo wew pekee.

Usijumuishe watanzania wote.

Inapogosha..
Tupo wengi ambao tuliacha kufuatilia taarifa za habari za kusifuna kuabudu.
 
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.

Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.

Hivi ni nini kimetokea?

wanapenda umbea mbona kipindi cha masuud brown na mwijaku watu wengi wanaangalia ni umbea tu hata mageziti ya udaku yananunuliwa sana watanzania huwajui kuingia peponi ni shida
 
Alifuata nyayo za Idi Amin.

Idi Amin alisema-

You have freedom of speech, but freedom after speech, I cannot guarantee that.

Alikuwa anaturudisha nyuma sana,tulishaondoka huko tangia miaka ya 60s JIWE akaanza kuturudisha tena.
 
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.

Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.

Hivi ni nini kimetokea?
Uongo , Nani aliachana na kuangalia local channels, akawa anaangalia tamthilia,

Ikiwa umefanya hivo wew pekee.

Usijumuishe watanzania wote.

Inapogosha..
Ninawashangaa sana bavicha, wamekua comedians...
 
Ila wabongo kwa propaganda hamjambo. We nani alikuambia watu wameachana na kuangalia taarifa ya habari na kusoma magazeti. Mambo ya familia yako na mtaani kwako unaya generalize na kuyafanya ya kitaifa.
 
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.

Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.

Hivi ni nini kimetokea?
Ukweli 100%
 
Ila wabongo kwa propaganda hamjambo. We nani alikuambia watu wameachana na kuangalia taarifa ya habari na kusoma magazeti. Mambo ya familia yako na mtaani kwako unaya generalize na kuyafanya ya kitaifa.
Joined March 31 2021
 
Hilo lipo wazii bisha kunya harisha jamba local chanels zilikosa mvuto
 
MJGAYO.jpg
 
Watanzania wapi unaowasemea, Je hicho kikundi chenu ndo wamekuwa watanzaniaWote
 
Watu mnajipa moyo sana ilihali hamjui analowaza mwajiliwa wenu.
 
Back
Top Bottom