Jaji Warioba katika busara zake aliyasema mengi haya.Alikuwa anaturudisha nyuma sana,tulishaondoka huko tangia miaka ya 60s JIWE akaanza kuturudisha tena.
[emoji23]Sasa Nani angekaa kumuangalia magufuli kilasiku kwenye TV?
Alitaka kuanzia Asubuhi uangalie lilelibichwa Kama cha kubanga.!Aluu.
Unaisaliti chadema step by stepHili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.
Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.
Hivi ni nini kimetokea?
inawezekanaje chadema kujisaliti yenyewe ?Unaisaliti chadema step by step
Alivunje bunge na Aitishe uchaguzi wa wabunge utakaokuwa huru na hakiMambo ya SSH
Jaji Warioba katika busara zake aliyasema mengi haya.
Mwenzio toka mwenda zake hatutoke sina habari na kusikiliza habari za sasa zilizojaa habari za mazwazwa na mapunguwani.Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani....
Mimi ni mmojawapo nilikua siangalii kabisa taarifa za tbc lakini sasa nimeanzaHili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
TV imejaa vipindi vyote "KISHINDO CHA AWAMU YA 5" nani aangalie upuuzi huo.hata kwa akili ya kawaida unadhani unaweza kuangalia TUNATEKELEZA KWA MIAKA 5 ?
Mungu amelinusuru Taifa kutoka mikononi mwa kiongozi mkuu wa Itarhamwe, Ahsante Mungu.Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
Hapo zamaniHili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.
Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.
Hivi ni nini kimetokea?
Dah binadamu tuna wivu .Haya yote nani kakuuliza muraaaa
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.
Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.
Hivi ni nini kimetokea?