brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo
Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa hata huyo man fongo hamjui na hajawai kumsikia
Hata hivyo kauli hii ya Wema kidogo inaleta ukakasi kwa kuwa siku chache zilizopita alipost katika account yake ya snapchart akiserebuka nyimbo ya hainaga ushemeji
View attachment 397104
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama kamzimikia manfongo bdo hajasoma mchezo ajichukulie jimama kiulaini
ww unaona alichokifanya Mama yake Wema kina maadili?Nawewe upuuzi wako unaoandikaga humu umerithi kwa nani?
GOOGLE ITMwenye Number za huyu Bi Mdashi tafadhali!
eti kwa mfanoMama Wema nae hatari unakuaje na beef na manfongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]GOOGLE IT
Mkuu kweli kbsaaaaaahii familia ni ya hovyo hovyo kwa kweli
ila anachofanya huyo soudy kitamrudia amekua mjinga sana anataka kuua mziki wetu wa kisengeli