Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo.....Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa hata huyo man fongo hamjui na hajawai kumsikia

Hata hivyo kauli hii ya Wema kidogo inaleta ukakasi kwa kuwa siku chache zilizopita alipost katika account yake ya snapchart akiserebuka nyimbo ya hainaga ushemeji
1473442196381.png
 
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo



Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa hata huyo man fongo hamjui na hajawai kumsikia



Hata hivyo kauli hii ya Wema kidogo inaleta ukakasi kwa kuwa siku chache zilizopita alipost katika account yake ya snapchart akiserebuka nyimbo ya hainaga ushemeji



View attachment 397104

Angalau sasa Watanzania tumeshajua ni wapi Wema Sepetu amerithi tabia zake tunaomuona nao kila kukicha. Mama na Binti kwakweli wanamtia mno aibu Mheshimiwa Marehemu Balozi Mzee Sepetu. Na sasa naanza kuamini pia kuwa kumbe ni kweli 90% ya characters za Mtoto wa Kike huchukua kutoka kwa Mama yake Mzazi.
 
Nawewe upuuzi wako unaoandikaga humu umerithi kwa nani?
ww unaona alichokifanya Mama yake Wema kina maadili?
huyo Dogo manfongo ni Mjukuu kwa Mama Wema hatakiwi kujibizana naye km boyfriend
inajua kwanini Balozi Sepetu alimuacha huyu Mama miaka kadhaa
tafuta kisa kwanza maana utawashobokea na kuwatusi Member humu wenye ukweli
 
Back
Top Bottom