Balozi alijitia aibu mwenyewe kwakuokota hovyo wanawake huko mtaani. Angalau, hili ni somo, wanaume muanze kuchagua wanawake wa kuoa, kuzaa nao, na kutoka nao huko mitaani bala hata kutumia kinga (CDs)Angalau sasa Watanzania tumeshajua ni wapi Wema Sepetu amerithi " upuuzi " wake tunaomuona nao kila kukicha. Mama na Binti kwakweli wanamtia mno aibu Mheshimiwa Marehemu Balozi Mzee Sepetu. Na sasa naanza kuamini pia kuwa kumbe ni kweli 90% ya characters za Mtoto wa Kike huchukua kutoka kwa Mama yake Mzazi.
et mama wema ana bifu na man fongo.hiii dunia inavituko aisee
Balozi alijitia aibu mwenyewe kwakuokota hovyo wanawake huko mtaani. Angalau, hili ni somo, wanaume muanze kuchagua wanawake wa kuoa, kuzaa nao, na kutoka nao huko mitaani bala hata kutumia kinga (CDs)
Pole ila ndio ujirekebishe.Nawewe upuuzi wako unaoandikaga humu umerithi kwa nani?
Hainaga Ushemeji Tunakulaga.Tatizo hasa ni nini hapa??
Muulize ManFongo.Mwenye Number za huyu Bi Mdashi tafadhali!
Umenene vyema mkuu..nakusapot 1000000%..Angalau sasa Watanzania tumeshajua ni wapi Wema Sepetu amerithi " upuuzi " wake tunaomuona nao kila kukicha. Mama na Binti kwakweli wanamtia mno aibu Mheshimiwa Marehemu Balozi Mzee Sepetu. Na sasa naanza kuamini pia kuwa kumbe ni kweli 90% ya characters za Mtoto wa Kike huchukua kutoka kwa Mama yake Mzazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wema bhana...ushatoa povu kwa genta....Nawewe upuuzi wako unaoandikaga humu umerithi kwa nani?
Punguza hasira mkuuKwa " mamako ".
Umenene vyema mkuu..nakusapot 1000000%..
Mama wema na man fongo,then bint unampgia sim soudy aseee...
Hopeless....