UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Huyo mama alishawahi kuwa family friend namjua vizuri sana ata sishangai,enzi zile marehemu mzee alikua barozi wa nchi flani hapa hapa africa huyo mama alikua anashida yani she can bully over petty staff afu alikua anazile mambo za kiswahili kupitiliza. nakumbuka kunasiku alinikanyagia kuna skendo flani hivi kuhusu huyo mwanae wema ndio ulikua mwisho wa family yetu kujihusisha na wao.. Mzee alitupiga BT kujihusisha nao kabisaMama na Binti wote ni wa " hovyo hovyo ".
Kwani walikutania wapi hasa? Maana kiumri hawashabihiani!Mama Wema nae hatari unakuaje na beef na manfongo
Lakini wakati wa Ugonjwa mama Wema ndo alimuuguza mpaka akamfia mkononi hao wanawake wengine walimkimbia.ww ndio mpuuzi
unaona alichokifanya Mama yake Wema kina maadili?
huyo Dogo manfongo ni Mjukuu kwa Mama Wema hatakiwi kujibizana naye km boyfriend
inajua kwanini Balozi Sepetu alimuacha huyu Mama miaka kadhaa
tafuta kisa kwanza maana utawashobokea na kuwatusi Member humu wenye ukweli
Ndio naomba mnieleweshe niko gizanj, yaani wanagombea nini hasa???? Mbona hawalingani? Au source ni nini?et mama wema ana bifu na man fongo.hiii dunia inavituko aisee
Ndio akili za barKititimo, kindai , singidani, mwenge , minga, kibaoni, kinyeto, mwankoko, mtamaa, nkoiree, ntinko. puma, makiungu mungaa.
Punguza hasira mkuu
Kisa kimeanzaje somebody to helpJamani hv huyu wema naye vi2ko vyake vitaisha lini?? Keshakuwa bibi atulie sasa.
Labda walimkimbia kwa kuona kaopoa garasa, wakaona acha ajifunze kumbe akafa!Lakini wakati wa Ugonjwa mama Wema ndo alimuuguza mpaka akamfia mkononi hao wanawake wengine walimkimbia.
Huyo mama alishawahi kuwa family friend namjua vizuri sana ata sishangai,enzi zile marehemu mzee alikua barozi wa nchi flani hapa hapa africa huyo mama alikua anashida yani she can bully over petty staff afu alikua anazile mambo za kiswahili kupitiliza. nakumbuka kunasiku alinikanyagia kuna skendo flani hivi kuhusu huyo mwanae wema ndio ulikua mwisho wa family yetu kujihusisha na wao.. Mzee alitupiga BT kujihusisha nao kabisa
Kuna mwanamuzik wa kisingeli anaitwa sholo mwamba walikua kwenye bus wanaelekea fiesta wanamuzik walikua wengi christian bella alikua analalamika kuwa wema na munna wanamtukana kuwa wameiba idia yao ya vigoma alifanya dar live man fongo akamwambia kila mtu na ridhiki yake lkn ndo uyo sholo mwamba kumtumia mama wema msg sijui wema kua man fongo uku amewatukana sana kamtukana mpk marehem mumeo kua kafa kwa... kitu ambacho si kweli mgombanishi n uyo sholomwamba sbbu haelewan flan na manfongo toka walivyokua management moja yy akajitoaNdio naomba mnieleweshe niko gizanj, yaani wanagombea nini hasa???? Mbona hawalingani? Au source ni nini?
Kuna mtu nimemjib eb pitia usome kisa chaoKisa kimeanzaje somebody to help
Kuna mtu nimemjib eb pitia usome kisa chao
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo.....Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa hata huyo man fongo hamjui na hajawai kumsikia
Hata hivyo kauli hii ya Wema kidogo inaleta ukakasi kwa kuwa siku chache zilizopita alipost katika account yake ya snapchart akiserebuka nyimbo ya hainaga ushemeji
View attachment 397104
Ikiwa mama yake wema ndio bado anajiona binti, huyo wema anaanzaje kutulia kwamfano[emoji15]Jamani hv huyu wema naye vi2ko vyake vitaisha lini?? Keshakuwa bibi atulie sasa.
HUYO SHORWE MWAMBA MBONA ANA TABIA ZA KIKAMERUNI? MAONGEZI KWENYE BASI NI KUPUNGUZA SAFARI ISIWE NDEFU MAONGEZI NI KUCHANGAMSHA BALAZA ILA YEYE ANAPELEKA STORY KOTE,SHORWE MWAMBA NI NGAPULILA ANA HATARI.Kuna mwanamuzik wa kisingeli anaitwa sholo mwamba walikua kwenye bus wanaelekea fiesta wanamuzik walikua wengi christian bella alikua analalamika kuwa wema na munna wanamtukana kuwa wameiba idia yao ya vigoma alifanya dar live man fongo akamwambia kila mtu na ridhiki yake lkn ndo uyo sholo mwamba kumtumia mama wema msg sijui wema kua man fongo uku amewatukana sana kamtukana mpk marehem mumeo kua kafa kwa... kitu ambacho si kweli mgombanishi n uyo sholomwamba sbbu haelewan flan na manfongo toka walivyokua management moja yy akajitoa