dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
baby nipe miezi miwili tu nafanya kweli, na uwaambie hao wote wanaokuzengea wasije poteza hera zao bure maana hakuna atakayezuiya mimi nawe kufunga ndoa.Baby ndio tufanye kuoana. Akitokea kama Lucas shauri yako
Um nancy...whn nlkudanganya?d u knw m!!!smh ,kwa hiyo muda wote huu huyu Nancy alikuwa ananidanganya, damn these girls they re not loyal
Uyo Lucas wako kitaaambo kama ni mtoto kuzaliwa ungeshafika secondary atasmh ,kwa hiyo muda wote huu huyu Nancy alikuwa ananidanganya, damn these girls they re not loyal
Mwaka gani hiyo? Wako kwene mahusiano muda mreeeefu utafikiri walishaoana kumbe uchumba suguHuyu c alikuwa na mchumba anasoma mzumbe kipindi flani, kama sijakosea
Hivi bifu la miss world na dada yake halikusababishwa na miss world afrika kumpora huyu bwana?????Du! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.
Ubaguzi kwetu tukitaka kuwaoa wao, ila wao kuwakandamiza wetu mbon eazy tu sisters wenyewe wanapenda... Lakin siku hizi afadhali na sisi tunawakandamiza kidogo, ukiwa na kijistatus fulan unakandamiza, wenye mihela wanaoa kabsa.. Siku hizi hakuna ubaguzi wa rangi, wanatubagua kwa pochiMhindi? Mh! Walikutana wapi na ubaguzi wa wahindi
Uchumba sio ndoaHuyu c alikuwa na mchumba anasoma mzumbe kipindi flani, kama sijakosea
Huyu Lucas afadhali angevaa kikoi tu. Hiyo suruali ilivyokaa hapo kwa bwan-kaka inatia nishai. Au atafute koti refu la kuziba kila kitu.
Shemeji unisaidiage kumwambia basi haaaHahahahahahaha...shemeji ngoja ndugu yangu nafsi ukunjue si unajua mambo ya kuambiana ndoa tunafunga lini hapo utamkimbiza
Shemeji unisaidiage kumwambia basi haaa
hahhahaha show za kibabeWatoto wazur dawa yao PESA
mi nkipata PESA tu namchomoa huyo LUCAS banian huwez show za kibabe
Mchawi PESA
Bridal Shower