dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
baby nipe miezi miwili tu nafanya kweli, na uwaambie hao wote wanaokuzengea wasije poteza hera zao bure maana hakuna atakayezuiya mimi nawe kufunga ndoa.Baby ndio tufanye kuoana. Akitokea kama Lucas shauri yako