Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hivi Ustaadhi Loon aliyekuwa Bad Boys alipigaga hii kitu eh?
 
Hivi bifu la miss world na dada yake halikusababishwa na miss world afrika kumpora huyu bwana?????
Hapana lile lilikuwa miss world kujiona zaidi ya dada na kuleta dharau kwa kuwa amekuwa star kuliko dada, akasahau dada ndie alie mleta Town.
 
Lakini hata kama Nancy kamzidi uzuri, si vyema mke kutelekezwa kwa sababu ya kuwa hana uzuri machoni pa watu. I
 
Mrs Machache yupo hapo mkuu
 
Huyo aliyepiga magoti upande wa kushoto wa picha ni mke wa bwana machache(IPP) au macho yangu yamekuwa ya mwendokasi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…