Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Basi sawa, wa mujini wanasema wanapasha kiporo moto, hakuna kumwaga [emoji122][emoji122][emoji122]Ndio yeye.
Katelekezwa kwenye ndoa, ndio kitu cha msingi kilicho waunganisha, haya mambo ya maslahi pesa, huyu dada hajashindwa kujihudumia.. Alimfuata Luca kwa ajili ya NDOA. hivyo katlekezwa.Hajatelekezwa.... point of correction dear
Ndie yeye, kuna mke wa Nyalandu pia Faraja Kota hapo mwenye kijisweta ch brown picha ya chini upande wa kushoto.Huyo aliyepiga magoti upande wa kushoto wa picha ni mke wa bwana machache(IPP) au macho yangu yamekuwa ya mwendokasi!!
Una chambi chambi mkuu!!?Kumbe ni mume wa mtu? ma star wetu hawa bwana hawawezi kuishi bila mume wa mtu wakati vijana mjini tupo kibao tu
Tupieni na picha basi tuone wengine tupo Kalenga huku hatuyajui hayo wakuuHaaaa we mwasu usinichekeshe hivi Yule mke wa Luca ana uzuri gani jamani.... Nancy kamuacha mbali kwakweli kwenye uzuri... sema ndo hivyo beauty is in the eye of the beholder
Hilo la kuwaacha watoto kina Isabel hapo sawa..... nadhani ameumia sana Yule dada
Huyu Nancy nae si nilisikia ni mkoboaji maarufu fundi...anyway kanjibai labda anayaweza
kwani alimkaza ?
Du! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.
Inamaana amekosa ngozi nyeusi hadi aolewe na huyo muasia?
Mmh
Bridal Shower
smh ,kwa hiyo muda wote huu huyu Nancy alikuwa ananidanganya, damn these girls they re not loyal
Anamsuburia bado... alimuambia kuwa atakuja amuwait tu... siku wiki miezi hadi miaka ikapita Demu hakutokea... akamuimbia wimbo akimlalamikia hado Complex na viv wamekufa lakini Demu hakuendakwani alimkaza ?