Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hajatelekezwa.... point of correction dear
Katelekezwa kwenye ndoa, ndio kitu cha msingi kilicho waunganisha, haya mambo ya maslahi pesa, huyu dada hajashindwa kujihudumia.. Alimfuata Luca kwa ajili ya NDOA. hivyo katlekezwa.
 
Huyo aliyepiga magoti upande wa kushoto wa picha ni mke wa bwana machache(IPP) au macho yangu yamekuwa ya mwendokasi!!
Ndie yeye, kuna mke wa Nyalandu pia Faraja Kota hapo mwenye kijisweta ch brown picha ya chini upande wa kushoto.
 
Hii group ya waliokuwa mamiss Tanzania imemsahau miss Wema Sepetu.
 
Haaaa we mwasu usinichekeshe hivi Yule mke wa Luca ana uzuri gani jamani.... Nancy kamuacha mbali kwakweli kwenye uzuri... sema ndo hivyo beauty is in the eye of the beholder

Hilo la kuwaacha watoto kina Isabel hapo sawa..... nadhani ameumia sana Yule dada
Tupieni na picha basi tuone wengine tupo Kalenga huku hatuyajui hayo wakuu
 
Huyu Nancy nae si nilisikia ni mkoboaji maarufu fundi...anyway kanjibai labda anayaweza
 
Du! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.

Chezea wabongo weye....!
 
Inamaana amekosa ngozi nyeusi hadi aolewe na huyo muasia?

Weusi wengi hupenda kuzaa na rangi nyeupe
hata kama atakuwa hana kitu.
Lakini kwa black mwenzie ukawa na pesa ndo utapata unachokitaka!
Sijui ni aina gani hii ya kasumba ile kuwa mtu mweupe ni bora zaidi.
Mapenzi hayachagui.....
 
Screenshot_2016-06-13-08-51-06-1.png

Bridal Shower

Screenshot_2016-06-13-08-40-40-1.png
Mmh
 
kwani alimkaza ?
Anamsuburia bado... alimuambia kuwa atakuja amuwait tu... siku wiki miezi hadi miaka ikapita Demu hakutokea... akamuimbia wimbo akimlalamikia hado Complex na viv wamekufa lakini Demu hakuenda
 
Back
Top Bottom