respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Hakuna afadhali hao wahindi wameona kuna fursa,wanataka kufanya biashara na watapata hela nyingi sana kwa mgongo wa hizi timu
mkuu mbona bado mapema sana kutoa lawama hizo ulizotoa!!? Alichokifanya manji,ndo kile kile kilichofanywa na mo dewji. Hii ni hatua ya awali,yaani kuleta wazo kwanza kwa wanachama,wanachama wa yanga wakiafiki,hatua ya pili ni kufanya marekebisho ya katiba kuweka vipengele vitakavyoruhusu huo ukodishwaji.Am Young Dar African Sports Club,
Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?
Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!
Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.
Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!
Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.
Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!
Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?
Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss
Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!
BACK TANGANYIKA
Wabongo bwana! Timu zinaishi kwa msaada miaka yote hata mvi zinaota na bado ni masikini. Kazaliwa Kazaliwa juzi tu, azamu na kanajimiliki, bado watu wanataka hizi timu kongwe zife zikiwa maskin? Kwa faida ipi haswa? Raha ya timu ushindi na burudani bwana. Si timu ikibahatika kucheza japo kombe la cecafa inawaza kijitoa kisa shida, wapeni timu. Ila watuuzie hisaWanachama Yanga wamkabidhi Yusuf Manji aiendeshe Yanga kama klabu binafsi, mikataba ya kumkabidhi nembo kusimamiwa na Baraza la Wadhamini.
Katika mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kipindi hiki, Manji amesema amepeleka ombi la kuikodisha Yanga kwa miaka 10.
“Nitaikodisha kwa asilimia 75 na 25 inabaki kwa wanachama. Nataka kuikodisha timu na nembo, majengo ya klabu yanabaki kuwa mali ya wanachama.
“Katika miaka 10, ikipatikana faida 25 inakwenda kwa wanachama na klabu na 75 kwangu. Kama itakuwa ni hasara basi inakuwa hasara yangu, hakuna hasara upande wa wanachama au klabu,” alisema.
Manji amesema masuala ya timu kuhusu usajili, mishahara, uendeshaji kama safari na gharama nyingine zitakuwa chini yake
Wakati huo huo, Wajumbe watatu wa Kamati Utendaji ya Yanga Ayoub Nyenzi, Hashim Abdallah na Salum Mkemi wavuliwa uanachama wa klabu hiyo.
Kausha mwananimegundua hakuna kitu kibaya humu duniani kama njaa NJAA NI MBAYA SANA ni hayo tu kwa leo
Hilo ndiyo jambo la msingi, anatia mtaji kiasi gani?Anaikosisha kwa sh ngp? I mean mtaji wake alioweka ni sh ngp?
Hyo asilimia 75, inathamani ya sh ngp? Isije kuwa manji anataka kuwauza yanga? Ikitokea tim ikashuka daraja je atafanyaje?
Yanga haja fikiria kwA umakini, kunahasara kuliko faida, hayo maamzi ya mwendo kasi yatakuja kuighalim yanga
Think
Am Young Dar African Sports Club,
Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?
Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!
Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.
Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!
Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.
Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!
Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?
Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss
Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!
- BACK TANGANYIKA
- we ndio mwehu kweli eti nembo thamani yake trilioni...Yanga inaendeshwa kwa misaada kila siku mbona hiyo nembo haijawahi kuwasaidia? Mwacheni Manji apewe timu
Katika wanachama walio makini ni Yanga! Jamaa atakodishwa timu ila ili mkataba udumu inabidi timu iwe na mafanikio miaka yote hiyo kumi otherwise kama hakuna mafanikio wanachama wa yanga wataweka kambi pale quality group na mwenyewe atarudisha timu!!Anaikosisha kwa sh ngp? I mean mtaji wake alioweka ni sh ngp?
Hyo asilimia 75, inathamani ya sh ngp? Isije kuwa manji anataka kuwauza yanga? Ikitokea tim ikashuka daraja je atafanyaje?
Yanga haja fikiria kwA umakini, kunahasara kuliko faida, hayo maamzi ya mwendo kasi yatakuja kuighalim yanga
Think
We umeisaidia nini yanga kama timu labda, we kazi yako kufurahi kama shabiki, mbona TP mazembe inaendeshwa na katumbi, cha muhimu tujue iyo miaka 10 nini yanga kama club itapata