Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Hakuna afadhali hao wahindi wameona kuna fursa,wanataka kufanya biashara na watapata hela nyingi sana kwa mgongo wa hizi timu

Inauma sana, tena wanagawana tu utafikiri peremende.

Mi nilikuwa najiuliza, hivi huyu Manji anawekeza vipi Mabilioni ya pesa bila kupata faida yoyote? Anaipeleka Timu Uturuki, Inapiga kambi hata wiki mbili mfululizo kwa gharama zake, hivi anapata nini???

Ebhanaeee huyu mtu mjanja sana. Leo kakabidhiwa timu puuuuuuu, wale viherehere wa kuhoji fukuzia mbali, dadekiiii....!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Am Young Dar African Sports Club,

Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?

Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!

Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.

Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!

Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.

Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!

Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?

Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss

Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!

BACK TANGANYIKA
mkuu mbona bado mapema sana kutoa lawama hizo ulizotoa!!? Alichokifanya manji,ndo kile kile kilichofanywa na mo dewji. Hii ni hatua ya awali,yaani kuleta wazo kwanza kwa wanachama,wanachama wa yanga wakiafiki,hatua ya pili ni kufanya marekebisho ya katiba kuweka vipengele vitakavyoruhusu huo ukodishwaji.

Kitu kibaya nilichokiona kwa manji,ni hili la kufukuza viongozi tena wa kamati ya utendaji..!! Hii pengine ni njia ya manji kuwaondoa wale ambao anajua watasimama upande wa yanga kutetea masilahi. Ki-msingi yeye ndo alipaswa kuachia ngazi leo km mwenyekiti wa yanga ili kuondoa mgongano wa masilahi...akibaki km mwenyekiti wa yanga,wakati huo huo yeye ndo mkodishaji nani atamfunga paka kengele!!??
 
Akimaliza kukodisha nasi pia tukodishwe,tanzania ya mabadiliko bado ujanja ujanja!
 
Nahic yanga wanatapeliwa mchana kweupeeeeeeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Bora wachukue tu maana sioni faida ya hizi timu
 
Wanachama Yanga wamkabidhi Yusuf Manji aiendeshe Yanga kama klabu binafsi, mikataba ya kumkabidhi nembo kusimamiwa na Baraza la Wadhamini.

Katika mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kipindi hiki, Manji amesema amepeleka ombi la kuikodisha Yanga kwa miaka 10.

“Nitaikodisha kwa asilimia 75 na 25 inabaki kwa wanachama. Nataka kuikodisha timu na nembo, majengo ya klabu yanabaki kuwa mali ya wanachama.

“Katika miaka 10, ikipatikana faida 25 inakwenda kwa wanachama na klabu na 75 kwangu. Kama itakuwa ni hasara basi inakuwa hasara yangu, hakuna hasara upande wa wanachama au klabu,” alisema.

Manji amesema masuala ya timu kuhusu usajili, mishahara, uendeshaji kama safari na gharama nyingine zitakuwa chini yake

Wakati huo huo, Wajumbe watatu wa Kamati Utendaji ya Yanga Ayoub Nyenzi, Hashim Abdallah na Salum Mkemi wavuliwa uanachama wa klabu hiyo.
Wabongo bwana! Timu zinaishi kwa msaada miaka yote hata mvi zinaota na bado ni masikini. Kazaliwa Kazaliwa juzi tu, azamu na kanajimiliki, bado watu wanataka hizi timu kongwe zife zikiwa maskin? Kwa faida ipi haswa? Raha ya timu ushindi na burudani bwana. Si timu ikibahatika kucheza japo kombe la cecafa inawaza kijitoa kisa shida, wapeni timu. Ila watuuzie hisa
Kwa malengo maalum kwa wanachama na mashabiki,
 
Nashindwa kuelewa hapo kwenye kukodisha timu. Hapa Kuna kautelezi kakushtukiza.
 
Anaikosisha kwa sh ngp? I mean mtaji wake alioweka ni sh ngp?

Hyo asilimia 75, inathamani ya sh ngp? Isije kuwa manji anataka kuwauza yanga? Ikitokea tim ikashuka daraja je atafanyaje?

Yanga haja fikiria kwA umakini, kunahasara kuliko faida, hayo maamzi ya mwendo kasi yatakuja kuighalim yanga

Think
Hilo ndiyo jambo la msingi, anatia mtaji kiasi gani?
 
Am Young Dar African Sports Club,

Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?

Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!

Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.

Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!

Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.

Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!

Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?

Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss

Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!

  1. BACK TANGANYIKA
  1. we ndio mwehu kweli eti nembo thamani yake trilioni...Yanga inaendeshwa kwa misaada kila siku mbona hiyo nembo haijawahi kuwasaidia? Mwacheni Manji apewe timu
 
1470490638067.jpg
 
  1. we ndio mwehu kweli eti nembo thamani yake trilioni...Yanga inaendeshwa kwa misaada kila siku mbona hiyo nembo haijawahi kuwasaidia? Mwacheni Manji apewe timu

Haipendezi....!!!!

Unaona ni sahihi kuniita mwehu? Sawa ungeshambulia hoja basi, kwanini kunitusi???

Nikikujibu hivi si kwamba sijui kutukana ama siwezi kukutukana.... JUST A WARNING....!!!

BACK TANGANYIKA
 
Wenzetu wametoa maamuzi ya haraka japo sidhani kama kila kitu kimezingatiwa vizuri ila ni hatua moja kubwa tofauti na upande wa Simba.Mwendo wa kinyonga.
 
We umeisaidia nini yanga kama timu labda, we kazi yako kufurahi kama shabiki, mbona TP mazembe inaendeshwa na katumbi, cha muhimu tujue iyo miaka 10 nini yanga kama club itapata
 
Anaikosisha kwa sh ngp? I mean mtaji wake alioweka ni sh ngp?

Hyo asilimia 75, inathamani ya sh ngp? Isije kuwa manji anataka kuwauza yanga? Ikitokea tim ikashuka daraja je atafanyaje?

Yanga haja fikiria kwA umakini, kunahasara kuliko faida, hayo maamzi ya mwendo kasi yatakuja kuighalim yanga

Think
Katika wanachama walio makini ni Yanga! Jamaa atakodishwa timu ila ili mkataba udumu inabidi timu iwe na mafanikio miaka yote hiyo kumi otherwise kama hakuna mafanikio wanachama wa yanga wataweka kambi pale quality group na mwenyewe atarudisha timu!!
 
We umeisaidia nini yanga kama timu labda, we kazi yako kufurahi kama shabiki, mbona TP mazembe inaendeshwa na katumbi, cha muhimu tujue iyo miaka 10 nini yanga kama club itapata

Unajua maana ya ushabiki???
 
Kweli mkuu, hiyo nembo hatujaona faida yake kwa kiaka yote hiyo, ngoja tuone uwekezaje wake
 
Back
Top Bottom