Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Waambie hao, mbona hata TP Mazembe ni ya Moise Katumbi?SafI
Chelsea Yupo Abrahimovic
Man Utd wapo Glazer family
Man City Yupo Sheikh Mansour
Hakuna ajabu Mo kuibeba Simba na Yanga kwa Manji
[emoji2] [emoji2]. Naamini ndani miaka 15 ijayo kama mwendo ni huu huu, kutakua na mabadiliko katika soka la nchi hii. Hawa wazee wa na makomandoo wa hizi timu kongwe ndio kikwazo cha maendeleo ya soka.Shukrani nyingi zimwendee Mr...Mo.....
amewatoa usingizi vyura....
SIMBA NGUVU....MOJA
..orodha ya nini sasa.,stick kwenye mada!Hadi leo nimekuwa mzee sijawahi kuona mswahili akipokea mabadiliko yoyote kwa fikra chanya. Yaani nikukosoa na kuwa na mashaka tu. Hata kama jambo lina tija. Mfano
1. Hoja ya vyama vingi au kimoja
2. Muungano
3. Ujio wa Rais Bush nakukaa siku 4
4. Ujio wa Rais Obama
5. Safari za Rais Kikwete nje ya nchi
6. Kutofanya safari nje ya nchi Rais JPM
7. EAC
8. Kuhamia Dodoma
9. Mo kuwekeza hisa club ya Simba
10. Manji kuikodisha Yanga kwa 75%
11. Hoja ya Yanga kuwa Kampuni
12. Mabasi ya mwendo kasi
13. Wafanyakazi hewa.
14. Wanafunzi wasio na sifa kujiunga vyuo viku
15. Vita ya kagera
16. Vijiji vya ujamaa
17. Siasa ni kilimo
18. Kilimo kwanza
19. Operation majangili
20. Matumizi ya EFD
Kila jambo mbogo ni kukosoa tu na kuwa na mashaka.
Simba na Yanga nusu karne yote wamefanya lipi la maana. Tuache uoga wa kufanya mabadiliko.
Nina imani waliokuwa wanakosoa uanzishwaji wa mabasi ya mwendo kasi, leo hii hawaishi kuyagombania kupanda tena wakali hao ukijaribu kuwahi kuingia kabla yao.
Acheni mazoea na akili mgando
Am Young Dar African Sports Club,
Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?
Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!
Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.
Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!
Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.
Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!
Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?
Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss
Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!
BACK TANGANYIKA
Labda kapeleka jezi na mipiraHuyo Zitto atuambie ameshasaidia nini kwenye michezo...Jimbo lake mwenyewe limemshinda hakuna alichofanya
Hadi leo nimekuwa mzee sijawahi kuona mswahili akipokea mabadiliko yoyote kwa fikra chanya. Yaani nikukosoa na kuwa na mashaka tu. Hata kama jambo lina tija. Mfano
1. Hoja ya vyama vingi au kimoja
2. Muungano
3. Ujio wa Rais Bush nakukaa siku 4
4. Ujio wa Rais Obama
5. Safari za Rais Kikwete nje ya nchi
6. Kutofanya safari nje ya nchi Rais JPM
7. EAC
8. Kuhamia Dodoma
9. Mo kuwekeza hisa club ya Simba
10. Manji kuikodisha Yanga kwa 75%
11. Hoja ya Yanga kuwa Kampuni
12. Mabasi ya mwendo kasi
13. Wafanyakazi hewa.
14. Wanafunzi wasio na sifa kujiunga vyuo viku
15. Vita ya kagera
16. Vijiji vya ujamaa
17. Siasa ni kilimo
18. Kilimo kwanza
19. Operation majangili
20. Matumizi ya EFD
Kila jambo mbogo ni kukosoa tu na kuwa na mashaka.
Simba na Yanga nusu karne yote wamefanya lipi la maana. Tuache uoga wa kufanya mabadiliko.
Nina imani waliokuwa wanakosoa uanzishwaji wa mabasi ya mwendo kasi, leo hii hawaishi kuyagombania kupanda tena wakali hao ukijaribu kuwahi kuingia kabla yao.
Acheni mazoea na akili mgando
HahahahahahahahaKutoka Yanga Afrika mpaka Yanga India
kweli mwaka wa mabadiliko huu.
Kutoka Jangwani mpaka New Delhi
ww ndo zero kichwaniBora hii ya Manji kuliko hayo ya Simba.
Mkuu nimecheka hadi chozi!huu mpira wetu ni majanga tupu!you made my day!!!Sasa subiri Simba achukue ubingwa au Azam Yanga wawe wa 3 ndo Kanjibai atajua ni miaka 10 au miezi 10. Wanachama wote watahamia nyumbani kwake kutaka team yao.
Yaah enzi za george (fidel castrol )mpondela ndo yalikuwa mambo hayo lakini tulikwamishwa na kina yusuph mzimba na wenzie.Habari za hisa/kampuni zilianzishwa na akina Tarimba miaka kumi iliyopita .
Wamatopeni wamedesa bila kujua undani wenyewe. Mpeni Mo hiyo timu mje mlie vizuri baadaye. Mnadandia train kwa mbele.